Base (Swahili) |
English |
Katika kupambana na adui ujinga na janga la watu wazima wasiojua kusoma na kuandika,NGOME imefungua darasa la watu wazima katika shule ya msingi Ufukoni katika Manispaa ya Mtwara-Mikindani.NGOME inaishukuru ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa kwa kuturuhusu kufungua darasa kwenye shule hiyo.
|
In fighting an enemy ignorance and the scourge of adults who are literate, CASTLE has opened an adult class in elementary school in the borough of Mtwara Beach-Mikindani.NGOME inaishukuru office of the Director of the Municipality for allowing us to open a class at school.
|