Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
Katika kupambana na adui ujinga na janga la watu wazima wasiojua kusoma na kuandika,NGOME imefungua darasa la watu wazima katika shule ya msingi Ufukoni katika Manispaa ya Mtwara-Mikindani.NGOME inaishukuru ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa kwa kuturuhusu kufungua darasa kwenye shule hiyo. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe