About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/HCT/volunteer
: English
Base
English
Hisia's Artists
(Not translated)
Edit
HISIA kinaomba kupata mfanyakazi wa kujitolea ambaye atatusaidia kufanya shughuli za ukatibu muhtasi. Hatuna malipo yoyote kwa kazi hiyo bali mtu huyo atapata faida ya kufundishwa upigaji wa picha za video, picha za mgando na maswala ya Uigizaji wa filamu. – Aidha kama atakuwa amefanya kazi hiyo kwa uaminifu na uadilifu huenda akaajiriwa kama mfanyakazi wa muda maalum wa Hisia. – Kwa mawasiliano zaidi – 0652600002, 0786439740,...
Feeling requesting employee volunteers who will be able to write applications for various donor projects. To begin with we ask in advance who will find for us in his project that Deadline is 31st August 2012. Please contact executive director for phone number 0754 439 740 or email hisiaone@yahoo.com
(This translation refers to an older version of the source text.)
Edit