| Base (Swahili) | English |
|---|---|
|
Mwenye nyumba hii anahitaji kukutana na Tume ya Rais ya kukusanya maoni juu ya Marekebisho ya Katiba; wajumbe wa tume watamfikiaje huyu? taarifa za ujio wa Wajumbe wa Tume atazipataje?
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari Wella iliyoko Manispaa ya Dodoma hutembea umbali wa zaidi ya Km 10 kwenda na kurudi shuleni kila siku. Shule hii ni ya Kata ya Kikuyu Kusini.
Mandhari ya Mji wa Singida.
Hizi ni picha za bafu na Choo kwa wavulana wa shule ya sekondari Mbabala
Hili ni Bweni la wavulana katika shule ya sekondari Mbabala!
Humu ni ndani ya Bweni la wavulana katika shule ya Mbabala Sekondari
Moja ya nyumba ambayo baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Mbabala "GHETO" wamepangisha na kuishi humu. Kwa nyumba kama hii; tutarajie nini kwa wapangaji hawa?
Wajasiriamali wa biashara ya Mkaa wakisaka wateja.
Kibao kinachokataza kutumia lugha ya kirangi na kusisitiza kutumia kiswahili katika shule ya sekondari Chagaa iliyoko Wilayani Kondoa Mkoa wa Dodoma. Wanafunzi wa shule hiyo hutumia zaidi lugha ya Kirangi kuliko Kiswahili na Kiingereza kwao ni majaaliwa ya Muumba.
Mlezi wa wanafunzi wa kiume katika shule a Kikuyu Sekondari Tumaini Wambura akitoa ushauri na rai kwa washiriki wa mjadala wa Club ya Marafiki kuzingatia maadili ili kutimiza ndoto yao ya kuhitimu Elimu ya Sekondari kwa mafanikio na kwenda kutumikia jamii.
Mwandishi wa Habari kutoka Kituo cha TV cha Chanel 10 akipiga picha wakati mwanafunzi Ruthilinda Egberth akichangia katika mjadala wa wanafunzi wa Club ya Marafiki wa Elimu Dodoma katika shule ya Sekondari Kikuyu ya Dodoma.
Mchangiaji katika Mjadala wa katiba akisisitiza jambo wakati wa mjadala wa katiba uliofanuika Mjini Dodoma na kuhudhuriwa na wakazi wa mji huo zaidi ya 300.
Mkuu wa Wilaya ya Bahi ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Bibi Betty Mkwasa akisoma hotuba ya ufunguzi wa Mjadala wa Katiba ulioandaliwa na DUNGONET kwa ufadhili wa shirika la The Foundation for Civil Society la jijini Dar Es Salaam
Bweni la wavulana katika shule ya Sekondari Mbabala iliyoko Manispaa ya Dodoma. Kwa hali hii tutarajie matokeo gani kwa wanafunzi zaidi ya 43 wanaoishi katika ghala hili ambalo leo nimebadilishwa jina na matumizi hadi kuuwa Bweni bila marekebisho?
Choo chenye matundu mawili kinacho tumiwa na wavulana zaidi ya 43 wa Mbabala Sekondari Manispaa ya Dodoma Mkoani Dodoma.
Wanaharakati wa Warsha ya Jukwaa la Katiba Wakisikiliza michango ya washiriki.
Jenngo hili ni mfano wa moja ya majengo yaliyojengwa kwa fedha za Mpango wa Kuboresha Elimu ya Msingi (MMEM) katika shule ya Msingi Amani iliyoko Manispaa ya Dodoma mwaka 2005.
Mjini ni kazi na kilimo; utakula nini bila kushiriki kwenye uti wa mgongo wa Taifa hili? Acha uvivu wa kujifanya mtoto wa mjini; Shiriki kuzalisha shambani.
Mjumbe wa Bodi ya AFNET Mch. Kanyamala (wa kwanza kushoto) na Mkurugenzi wa AFNET Taifa Bi. Sarah Mwaga wakti wa maadhimisho ya kupinga ukatili wa wanawake Mkoani Singida.
Baadhi ya wanaharakati waliongana na wakazi wa mji wa Singida katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijisnia. Maadhimisho hayo yaliongozwa na ujumbe wa "Pinga Ukatili Imarisha Familia"
Mwakilishi wa Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) Bw. Ally Jumanne aliye simama katikati akichangia mada katika Mdahalo wa Wagombea Ubunge jimbo la Dodoma Mjini ulioandaliwa na Mtandao wa Asasi za Kiraia Mkoani Dodoma (NGONEDO) 2010.
Wasanii wakitoa Elimu kwenye Moja ya Mikutano ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2010
Wadau wa Habari na wanaharakati wakizuru kaburi la Mtemi Mazengo katika Kijiji cha Mvumi Makulu Wilaa ya Chamwino Moani Dodoma.
Kaburi la Mtemi Daudi Salomona Mazengo Chalula aliyefariki Tarehe 17 Januari, 1967 anakadiriwa kuwa na Umri wa Miaka 106.
Pichani juu ni Fullgence Ngonyani akifurahia mchezo wa kuruka wakati picha ya chini ni Prince E. Kimaro .
Mchezo wa kuruka ni moja kati ya michezo inayojenga Afya na kuboresha uwezo wa Ubongo kufikiri na kutoa maamuzi kwa haraka. |
Boarding school for boys in secondary ambient Mbabala Dodoma Municipality. In this situation we would expect results for students over 43 who live in this store, which today have changed the name to use to kill House without amendment?
Toilet with two piercing holes used by more than 43 boys of secondary Mbabala Dodoma Municipality, Dodoma Region.
Activists Workshop Forum Constitution Wakisikiliza contributions of participants.
Jenngo This is an example of one of the buildings built with funds Education Improvement Plan (PEDP) Amani Primary School in Dodoma Municipality located in 2005.
Urban and agricultural works, what you eat without participating in the backbone of this nation? Let's pretend baby sluggish in the city; Share producing field.
Member of the Board of AFNET Pastor. Kanyamala (first left) and Director of National Bi AFNET. Sarah Pour the time of the celebration of violence against women Singida region.
Some activists and residents of the Ghanaian town of Singida in celebration of 16 days against violence kijisnia. The celebration that led a delegation of "anti Strengthen Family Violence"
Representative of Tanzania Association of the Deaf (CHAVITA) Mr. Ally Tuesday who stand in his accounts of the candidates debate the topic in the Dodoma Urban parliamentary constituency was organized by Civil Society Network of Dodoma Region (NGONEDO) 2010.
Artists giving to One Education Outreach Campaign General Election 2010
|
Translation History
|










Kwa kitabu hiki hawa watoto wanasoma nini na wataelewaje? Tutafute kwanza kipande kilicholiwa na mchwa ndipo tupe kazi ya kujibu maswali! Ama kweli tuzisubiri fedha za rada zinaweza kupunguza tatizo hili. Shule ya Pahi iko Mkoani Dodoma katika Wilaya ya Kondoa.

Mwanafunzi Samwel wa kidato cha pili akichangia mawazo yake katika mada iliyokuwa ikizungumzia juu ya tabia ya walimu kufanya mapenzi na wanafunzi, chanzo ni nini?
Mwl. Teddy Swai mlezi wa Club ya Kikuyu Sekondari akichangia mada kwenye mjadala wa Club ya Marafiki wa Elimu katika shule ya Kikuyu. 

Wakzi wa Wilaya ya Dodoma Mjini waliofurika katika ukumbi wa Dodoma Sekondari kwa ajili ya kuchangia katika mjadala wa Katiba ulioandaliwa na Mtandao wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali Wilaya ya Dodoma Jini (DUNGONET)
Mkutano wa Marafiki wa Elimu Taifa uliofanyika Mjini Dodoma 24-26 Agost,2011.
Biashara ya vyuma chakavu mjini Dodoma ni miongoni mwa biashara ambazo zimeteka sana muda wa watoto na kujiingiza kwenye utafutaji fedha kupitia biashara hiyo. Mtoto huyu hakuwa tayari kutaja jina, mahali anapotoka wala shule anayosoma hapa Dodoma.
Huyu si mtoto wa mitaani; ni mjasiriamali mdohgo ambaye huokota vyuma chakavu na kwenda kuviuza kisha kujipatia fedha za matumizi yeye na wazazi wake. Kijana huyu wa darasa la nne katika shule ya msingi Mnadani kwa siku hujipatia kiasi cha kati ya sh. 1200 - 1800. Hufanya kazi hii kwa siku za mapumziko ya mwisho wa juma, sikukuu na likizo.
Kijana Samson mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya Msingi Ngh'ongh'onha Manispaa ya Dodoma akiwa kabeba miwa kwa ajili ya kwenda kuuza kwa wateje wake mitaani.
Hivi ndivyo Bweni hili linavyo onekana kwa ndani.
Bafu la wavulana katika shule ya Sekondari Mbabala.
Walioshindwa kuishi kwenye Bweni wakaamua kujipangishia vyumba nje ya shule (kwa wana kijiji); swali hapa ni je, usalama wa watoto hawa ukoje kimaadili, kimalezi na hata kuzingatia ratiba yao ya masomo hapa shuleni?
Emmanuel John (13) ni mwanafunzi wa Kidato cha Pili katika shule ya Mbabala na pia ni mpangaji katika nyumba za wenyeji kijijini hapo. Emmanuel anatamani sana kuhama katika shule hiyo kwa kile anachodai kuwa ni kokosa muda wa kujisomea kutokana na kubanwa na kazi za nyumbani ikiwa ni pamoja na kutafuta maji, kupika nk.
Wakazi wa Kata ya Kikuyu wakisubiriana chini ya mti wenye chemchem kwa ajili ya kuchota Maji kwa matumizi ya nyumbani.
Usafi wa Mazingira ni njia muhimu ya kupunguza mazalia ya mbu waenezao malaria.







