About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/NGOME/news
: English
Base
English
TUMEPATA ELIMU YA KUJIUNGA NA TOVUTI YA ENVAYA LEO TAREHE 18/05/2011 MAFUNZO MAZURI TUMEFURAHI KUYAPATA TUNAWASHUKURU WALIOTUWEZESHA KWANI WAMETUPATIA KITU KIPYA AMBACHO HATUJAKITEGEMEA TUNAWASHUKURU SANA.
We have received good training for how to join Envaya today, 05/18/2011. We have enjoyed it. We thank those who have enabled us to get a new thing which we haven't used before. We thank you very much.
Edit
(document)
(Not translated)
Edit
Maelezo ya kina ya shirika la Huduma ya Afya ya jamii Mtwara(NGOME) yamewekwa katika tovuti hii pamoja na Ripoti ya mwaka 2010. (document)
Detailed description of the organization of community health services Mtwara (Fortress) posted on this site and report in 2010. (document)
Edit
(document)
(Not translated)
Edit
(document)
(Not translated)
Edit
(image) – Elimu ya Ukimwi na Jinsia katika shule za Sekondari, hapa mtaalam wa Afya akitoa Elimu hiyo kwa wanafunzi wa sekondari ya Mitengo Mtwara Mjini
(image) – AIDS and Sex education in secondary schools, health experts here and offering education to students of the secondary unit Mtwara Urban
Edit
(image)
(Not translated)
Edit
NGOME imefungua tawi jingine la klabu ya wanafunzi kama zilivyo klabu zingine za NGOME katika shule za sekondari ya Mikindani na Mitengo. Klabu hiyo ya NGOME imefunguliwa katika shule ya sekondari NDUMBWE Mtwara vijijini. Klabu hizi ni kwaajili ya Elimu ya Afya ya Uzazi na Stadi za Maisha kwa wanafunzi wa sekondari, ambao hufundishwa na wataalam wa Afya kutoka NGOME na kufundishana wao kwa wao{UELIMISHAJI RIKA} baada ya kupata mafunzo kutoka kwa wataalam.
CASTLE has opened another branch of the club of students, like many other clubs in secondary schools CASTLE of Mikindani unit. Club CASTLE The school opened in Mtwara rural NDUMBWE. These clubs are in favor of the Reproductive Health Education and Life Skills for students of secondary schools, which are taught by health professionals from CASTLE and teach themselves {peer} after receiving training from experts.
Edit
NGOME inafanya Utafiti wa Matatizo yanayofanya kuwe na Ndoa zinazovunjika mara kwa mara katika kata za Ufukoni na Mpapura ili kupanga mbinu mbadala ya kutatua tatizo hili linalopelekea maambukizi ya UKIMWI kuzidi kuenea kwa kasi kubwa pamoja na watoto wa Mitaani.
Fortress makes the study of problems that make marriage zinazovunjika there regularly in the county of pocket and ind to arrange alternative methods of solving this problem linalopelekea HIV spreads more rapidly along with the street children.
Edit