Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/Nuruhalisi/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – KAMALINAVYO JIELEZA BANGOLETU HAPO
(Bila tafsiri)
Hariri
(document)
(document)
Hariri
NURU DEVELOPMENT GROUP tayari wameshafanikisha kupanda uyoga, wanakikundi wamepeana majukumu ya kuutunza na viongozi kuendelea kutoa elimu pamoja na kutafuta fursa nyingine, Kikundi bado kinakaribisha wanachama ili kuwa na wigo mkubwa zaidi. Pia tunakaribisha wajasiriamali wadogo wagogo ili tuungane na kupanuka zaidi na hatimaye kuifikia jamii nchi nzima. Wanachama sio lazima watoke Dar es salaam na Dodoma tu, tunakaribisha wanachama toka pande zote za Tanzania bara....
Nuru MAENDELEO GROUP wameshafanikisha tayari kupanda uyoga, wanakikundi wamepeana majukumu ya viongozi kuendelea kuutunza Rangi kutoa Elimu pamoja Rangi kutafuta fursa Nyingine, Kikundi Bado kinakaribisha wanachama ili kuwa Rangi wigo mkubwa Zaidi. Pia tunakaribisha wajasiriamali wadogo ili tuungane wagogo Rangi kupanuka Zaidi Rangi hatimaye kuifikia jamii nchi nzima. Wanachama sio lazima watoke Dar es salaam Rangi Dodoma Tu, tunakaribisha wanachama toka pande zote za...
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
(image) – WADAU WAKIJADILIANA KABLA YA KUPOKEA TUZO
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Ni usiku,baadhi ya wanachama walikua wakiendelea na zoezi la kuzibua mitaro bila kujali muda
(image) – Ni usiku, baadhi ya wanachama walikua wakiendelea Rangi zoezi la kuzibua mitaro bila kujali muda
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Mwezi August na september Nuru Halisi imetoa mafunzo kwa mama na baba lishe katika maeneo ya mazizini-Ukonga, Mafunzo hayo yalihudhuriwa na watu 32 na yalihusisha viongozi wa Kata ya Ukonga kitengo cha afya. Pamoja na kutoa elimu hiyo ya namna ya kutunza vyakula katika hali ya usafi, pia walipatiwa elimu ya namna ya kutunza taka zitokanazo na vyakula katika hali isiyokua na madhara kwa binadamu. Vilevile baada ya kmaliza mafunzo hayo,wameaswa kuwa na umoja wao ili...
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – kikombe hiki ni mali ya WANAMAZINGIRA ambacho tulikabidhiwa kwa utendaji mzuri hasa katika nyanja ya usafi.NAMBA MOJA KI-WILAYA YA ILALA KATIKA SWALA LA UTUNZAJI MAZINGIRA NA USIMAMIZI WA USAFI
(Bila tafsiri)
Hariri
NURU HARISI WAENDELEA KUTOA ELIMU KWA MAMA NA BABA LISHE – DIRA YETU NI KUWAWEZESHA WAUZA VYAKULA NA MATUNDA WAZINGATIE YAFUATAYO ILI KUEPUKA KUENEA KWA KIPINDUPINDU KWA WATEJA – Osha vyombo kwa maji safi na sabuni Kufunika vyombo vyote vizuri na kwa usafi chemsha au tibu maji yote ya kunywa na kutengenezea juisi ya wateja na yafunikwe wakati wote Mpe mteja wako chakula kikiwa cha...
(Bila tafsiri)
Hariri
Katibu wa Nuru Halisi akiwa na viongozi wa kikundi cha Nuru Development Group(KIMANU) katika moja ya vikao vyake. Kikundi hiki tayari kimeanzisha mradi wa uyoga na kinaendelea kuandaa miradi mingine ya maendeleo. (image)
Katibu Wa Nuru Halisi akiwa Rangi viongozi kikundi cha Wa Nuru Development Group (KIMANU) katika Moja ya vikao vyake. Kikundi hiki kimeanzisha mradi tayari Wa uyoga Rangi kinaendelea kuandaa miradi mingine ya maendeleo. (image)
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
(image) – PICHA YA WANA-NURUHALISI KABLA YA KUPOKEA KIKOMBE
(Bila tafsiri)
Hariri