Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
NURU HARISI WAENDELEA KUTOA ELIMU KWA MAMA NA BABA LISHE DIRA YETU NI KUWAWEZESHA WAUZA VYAKULA NA MATUNDA WAZINGATIE YAFUATAYO ILI KUEPUKA KUENEA KWA KIPINDUPINDU KWA WATEJA
Epuka na pia usichangie kuenea kwa kipindupindu mteja wako akifa kesho utamuuzia nani? TUNZA AFYA YA MTEJA WAKO.
|
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe