Envaya

/CHACODE/post/25985: Kiswahili: CM000BDD756DA10000027562:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili
Mimi ni mdau wa habari na mawasiliano Chalinze -(CHALINZE ICT CENTRE); bahati mbaya sijaona wala kukutanana ninyi katika harakati zenu.
Lakinia nimefurahi kukutana na habari zenu kumbe tupo pamoja. Lakini sasa mko wapi? Mbona hasikiki?
Ningependa tuwasiliane kwani nami ni mdau wa maendeleo.
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe