Base (Swahili) | English |
---|---|
Mimi ni mdau wa habari na mawasiliano Chalinze -(CHALINZE ICT CENTRE); bahati mbaya sijaona wala kukutanana ninyi katika harakati zenu. Lakinia nimefurahi kukutana na habari zenu kumbe tupo pamoja. Lakini sasa mko wapi? Mbona hasikiki? Ningependa tuwasiliane kwani nami ni mdau wa maendeleo. |
I am a member of information and communication Chalinze - (Chalinze ICT CENTRE): Unfortunately I have not seen nor kukutanana you in your pursuit. Lakinia I'm glad to meet your information but we are together. But now you're where? Why not sikiki? ,, I would be contacted as I am a member of the development. |
Translation History
|