Log in

/mope/post/93349: English: CM00067C0693B5B000093817:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English
Inaonekana serikari na mashirika mengine ya yasiyo ya kiserikari yanapambana sana kuakikisha watu hawa wanapata makazi. kama MOPE wanavyosema changamoto kubwa ni kwenye vyoo na mahali pa taka, mahema ni mazuri sana, maji yanachimbwa na mambo mengi yanaendelea pale. sisi wengine ni wajibu wetu kuhakikisha tunajenga hali nzuri ya watu kuishi na sio kukimbia mafuriko na watu wakafa kwa magonjwa ya mripuko.
solid waste disposal and clean water supply are the basic issue that must be addressed in few days to come

ongera Mope for your observation
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register