Envaya
/mtwangonet/news
: English
Base
English
Maelezo ya Mtandao (document)
Description of Network (document)
Edit
PATA MAMBO WALIYOJIFUNZA WASHIRIKI WA MAFUNZO HUKO MASASI KUANZIA TAREHE 15-20 JUNE 2011. (document)
FIND ISSUES FOR TRAINING PARTICIPANTS IN WALIYOJIFUNZA Iqaluit FROM DATE 15-20 JUNE 2011. (document)
Edit
MATANGAZO – MTWANGONET inawatangazia viongozi wote wa ASASI kuleta mipango kazi ya Asasi zao katika ofisi ya MTWANGONET ili iweze kujumuishwa na ya Manispaa, mwisho tarehe 10/8/2011. kwa maelezo zaidi fika ofisini MTWANGONET siku na saa za kazi. Pia MTWANGONET inawatangazia viongozi wa Asasi zote kuja na kusoma tangazo kutoka T-MACK lililo katika mfumo wa barua, tangazo linataka asasi zinazotaka kuwa asasi kiongozi wa mradi wa FAMILY MATTERS...
Standing orders – MTWANGONET inawatangazia ORGANISATIONAL officials of labor organizations to bring their plans in office MTWANGONET to be included with the borough, last on 10/08/2011. came to the office for more details MTWANGONET days and hours of work. Also MTWANGONET inawatangazia leaders of all organizations to come and read the announcement from T-Mack is in the form of a letter, seeking a declaration that the organization...
Edit
(image) – CHAC wa Manispaa ya Mtwara Mikindani Bi. Deo Mtitu na Katibu wa Mtwara women living with HIV/AIDS(mwoliha) Bi.Mwanahamisi Bakari wakisikiliza kwa makini katika Mafunzo yanayoendelea mjini MASASI MTWARA TANZANIA.
(image) – CHAC Mtwara Municipal Mikindani Bi. Deo, Titus and Secretary of Mtwara women living with HIV / AIDS (mwoliha) Bi.Mwanahamisi Bakari been paying attention in ongoing training in Iqaluit MTWARA TANZANIA.
Edit
Mtwangonet inatoa mafunzo ya Afya ya Mama na Mtoto kwa ufadhili wa Amref Mtwara katika ukumbi wa COTC MTWARA, mafunzo ni ya siku tano kuanzia Tarehe 17-21 May 2011
Mtwangonet offers training for Mother and Child Health with funding AMREF in the hall of the COTC Mtwara Mtwara, training is five days from March 17-21 May 2011
Edit
Wanachama wa MTWANGONET walio katika mradi wa Ukimwi na Jinsia wapo MASASI wakihudhulia mafunzo ya siku sita ya Uendeshaji wa Shirika(Organizational Deveopment Training) – Mafunzo hayo yanalenga kuboresha utunzaji mzuri wa kumbukumbu za shughuli na miradi, upangaji mipango na utunzaji wa kumbukumbu za Fedha ili waweze kutekeleza mradi huu wa utetezi maswala ya Ukimwi na Jinsia lakini pia miradi mingine ambayo wataitekeleza. Akihojiwa na Afisa habari wa...
Members of MTWANGONET those in the AIDS and Gender Project Iqaluit they are training six days hudhulia Management Corporation (Deveopment Organizational Training) – The training focused on improving the proper handling of records of activities and projects, planning and maintenance of financial records in order to implement the project's advocacy of AIDS and gender issues but also other projects which will be fulfilled. Interviewed by the official news...
Edit
Tusome Taarifa ya Utekelezaji ya Mtandao ya mwaka 2010 (document)
Read the Action Network Report 2010 (document)
Edit
(document)
(Not translated)
Edit
MTWANGONET imeanza kufanya Ufuatiliaji na Tathimini katika miradi yake kwa Azaki wanachama wa Mtwangonet, tunakaribisha maoni na mapendekezo ili kuboresha shughuli hii, Azaki wanachama mnaombwa kutoa ushirikiano wa kutosha kwa maafisa wetu wa ufuatiliaji na Tathimini.
MTWANGONET begun to Monitoring and Evaluation for NGOs in its projects Mtwangonet members, we welcome your comments and suggestions to improve this activity, CSO members are requested to give adequate cooperation to the officers of our monitoring and evaluation.
Edit
(image) – Mkutano wa wanachama wa MTWANGONET walio katika mradi wa Ushawishi na Utetezi maswala ya VVU/UKIMWI na JINSIA
(image) – Conference members are in the project MTWANGONET Advocacy issues of HIV / AIDS and Gender
Edit