About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/HCT/news
: English
Base
English
(image) Hisia Cultural Troupe Tulikuwa sambamba na msanii mwenzetu Mjomba Mrisho Mpoto katika uzinduzi wa gazeti la Kwanza Jamii!
(image) We were feeling Cultural Troupe along with fellow artist Uncle Mrisho Mpoto the launch of the magazine First Category!
Edit
(image) – Hapa ni katika moja ya maonesho yetu kuhamasisha matumizi ya dawa ya kutibu maji (Water Guard) Vijijini chini ya Shirika la PSI
(image) – Here is one of our exhibitions to promote the use of drugs to treat the water (Water Guard) Rural under the PSI Agency
Edit
(image)
(Not translated)
Edit
(image)
(Not translated)
Edit
Hisia's Artists
(Not translated)
Edit
(image) – HAPA NI MARA BAADA YA ONESHO KUMALIZIKA. WASANII WA HISIA KATIKA PICHA YA PAMOJA1
(image) – HERE ARE THE TIMES AFTER the exhibition ended. ARTISTS OF FEELINGS IN THE PICTURE OF PAMOJA1
Edit
(image)
(Not translated)
Edit
(image) – Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma akizindua Gazeti la Kwanza Jamii ambapo Hisia Cultural Troupe iliburudisha
(image) – Chief of Dr Iringa Region. Christine Ishengoma he launched the magazine First Impression Community Cultural Troupe where iliburudisha
Edit
KATIKA UZINDUZI WA GAZETI LA "KWANZA JAMII" HISIA IMEALIKWA KUBURUDISHA. KWA WAKAZI WA IRINGA NA VITONGOJI VYAKE NI WAKATI MZURI WA KUSHUHUDIA SANAA YENYE UHAKIKA, YENYE NIDHAMU NA ILIYOKWENDA SHULE. KWA AMBAO HAWATAPATA FURSA YA KUFIKA ENEO LA SHUGHULI MTATAZAMA KUPITIA KATIKA KURASA ZA MTANDAO HUU
At the launch of the magazine "FIRST FAMILY" feeling IMEALIKWA fun. For residents of Iringa and its surroundings is a good time ARTS WITH WITNESS POINT, WITH SCHOOL discipline and ILIYOKWENDA. In which HAWATAPATA potential of reaching you will be ever AREA THROUGH THE BUSINESS PAGE OF THIS WEB SITES
Edit
Mchezo wetu maalum unaendelea kuundwa. Kama wadau mna maoni yoyote katika kuuboresha kimawazo karibuni sana. Mada ni kuhusu VVU/UKIMWI na tunatarajia kuucheza vyuoni na baadhi ya maeneo ya mitaani.
The game continues our special creation. If stakeholders have any comments on improving it much thought recently. The point is about HIV / AIDS and we'd play the scholars and some parts of the street.
Edit
(image) – Watu walicheka sana kwa ucheshi kutoka Hisia Cultural Troupe
(image) – People were laughing so from feeling a sense of humor Cultural Troupe
Edit