Ni kweli kabisa wazee wa Tanzania ni muhimu wapewe pension kwa sababu zifuatazo:wazee wengi ni maskini na wengi wao wanaishi maisha ya chini ya dola moja na waishi vijijini.Wengi wao wanakufa kwa kukosa matibabu,pia wazee wameachiwa yatima kitu ambacho kinawafanya waishi maisha ya shida hivyo ni muhimu wapewe pension hata kama hawajawahi kufanya kazi. | (Not translated) | Hindura |