Log in

/africanheritage/news: English: WI0009D4CBCF0BB000003173:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English

UZINDUZI WA TOVUTI

Shirika la African Heritage Foundation nchini Tanzania limezindua rasmi Tovuti yake jana Tarehe 24,Mwezi wa nane 2010 hapa Ukonga Kata ya Kitunda.Tovuti hiyo ilizinduluwa na Bwana Emmanuel.R.Kapongo mwakilishi wa Jumuiya ya watanzania washio nchini Italia ''Communita Tanzaniana in Italia".Ambayo ni jumuiya rafiki wa A.H.F.Hafla hiyo ya uzinduzi ili hudhuriwa na Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo nchini Tanzania,Katibu Mtendaji wa shirika hilo inchini Uingereza,Wanachama pamoja na waalimu na wanafunzi wa kituo maalum cha elimu kilicho chini ya shirika hilo.Pichani aliyekaa ni Bwana Emmanuel.R.Kapongo akizimdua Tovuti Kushoto kwake ni Bwana Paul Richard na aliyesimama ni Mkurugenzi wa A.H.F Inchini Tanzania Bwana Albert.T.Msafiri.Picha zingine chini wadau wa A.H.F waliohudhuria katika hafla hiyo.

UZINDUZI WA WEBSITE

Organization of African Heritage Foundation in Tanzania has launched its official website yesterday date 24 August 2010 Here's Ukonga ilizinduluwa Kitunda.Tovuti County and the Community Emmanuel.R.Kapongo representative of Tanzania in Italy''Communita washio Tanzaniana in Italy " . Which is a community-friendly AHFHafla the launch order is affected by the Executive Director of the organization in Tanzania, Executive Secretary of this organization inchini UK, members together with teachers and students of the facility specific level of education is under the organization hilo.Pichani who stayed are the Emmanuel.R.Kapongo she left him zimdua website is Lord Paul Richard and the stand is the Director of AHF Inchini Tanzania under the other Albert.T.Msafiri.Picha AHF stakeholders who attended the ceremony.


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
November 14, 2011
UZINDUZI WA (image) WEBSITE – Organization of African Heritage Foundation in Tanzania has launched its official website yesterday date 24 August 2010 Here's Ukonga ilizinduluwa Kitunda.Tovuti County and the Community Emmanuel.R.Kapongo representative of Tanzania in Italy''Communita washio Tanzaniana in Italy " . Which is a community-friendly AHFHafla the launch order is...
Google Translate
October 2, 2010
Launch of (image) WEBSITE – Organization of African Heritage Foundation in Tanzania has launched its official website yesterday on 24 August 2010 Here's trunk Kitunda.Tovuti Ward and Lord Emmanuel.R.Kapongo ilizinduluwa representative of the Tanzanian community in Italy''washio Communita Tanzaniana in Italy " . Which is a community-friendly AHFHafla The launch order...
This translation refers to an older version of the source text.