Envaya

/africanheritage/news: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
WANAFUNZI WAFURAHIA AFRICAN HERITAGE – Wanafunzi wafurahia na kuridhishwa na huduma ya elimu inaytolewa na shirika hilo.Wakiongea kwa nyakati tofauti wanafunzi wameelezea kuridhishwa na mazingira maridhiwa ya kituo cha elimu cha shirika hilo yenye mvuto kielimu,huku wengine wakionyesha hisia zao kwa waalimu wazuri,makini na wenye msimamo thabiti katika elimu na maisha kwa ujumla.Pichani ni wanafunzi wakiwa katika...(Not translated)Hindura
ESTABLISHMENT OF DISCUSSION PAGE – (image) – The webmaster of African Heritage Foundation in Tanzania Mr. Exavery E. Tabagi in the picture above, would like to inform the general public that the organization is about to create and establish a...(Not translated)Hindura
UZINDUZI WA KITUO MAALUM CHA ELIMU. – (image) – Shirika la African Heritage Foundation inchini Tanzania limezindua kituo maalum cha elimu kiitwacho(Talented Brothers Academy).Uzinduzi huo ulifanywa na Bwana Moses Katega aliyekua mgeni rasmi ambaye ni katibu mtendaji wa shirika hili nchini...(Not translated)Hindura
UTEUZI WA MSHAURI WA MASWALA YA AFYA WA SHIRIKA. – Mkurugenzi wa shirika la AHF nchini Tanzania bwana Albert.T.Msafiri amemteua rasmi Dr Oswad Lyapa kuwa mshauri wa shirika hilo katika maswala ya afya, uteuzi huo umethibitishwa na Dr. Frank Mukiza ambae ni mkurugenzi wa shirika hilo nchini Uingereza. Pia Dr Oswad atakua na jukumu la kuongoza timu ya madaktari na wauguzi watakao jitolea kutoa huduma...(Not translated)Hindura
HAPPY NEW YEAR – 2011 – (image)...(Not translated)Hindura
Its amazing African heritage members have responded postively the calling of teaching in public schools which are experiencing shortage of manpower(teachers).Ten teachers have been regestered in the programm while registration is stil continuing.In the picture below are Mwalimu Richard Noel and Mwalimu Neema teaching students of Kitunda Secondary School. (image) (image) (image)(Not translated)Hindura
We shall overcome………………… – Dr. Frank Mukiza in the picture below, who is the managing director of African Heritage Foundation in UK has said that inspite of financial problems which the organization is facing in Tanzania its activities should continue as arranged. He emphasized that the AHF in UK the mother organization of AHF in Tanzania will ensure that the ...(Not translated)Hindura
Mr. Stephen King meets AHF director in Tanzania Mr. Albert Msafiri in Dar es Salaam ...(Not translated)Hindura
UZINDUZI WA (image) TOVUTI – Shirika la African Heritage Foundation nchini Tanzania limezindua rasmi Tovuti yake jana Tarehe 24,Mwezi wa nane 2010 hapa Ukonga Kata ya Kitunda.Tovuti hiyo ilizinduluwa na Bwana Emmanuel.R.Kapongo mwakilishi wa Jumuiya ya watanzania washio nchini Italia ''Communita Tanzaniana in Italia".Ambayo ni jumuiya rafiki wa A.H.F.Hafla hiyo ya uzinduzi...(Not translated)Hindura
African heritage members have started to volunteer teaching in public school which have shortege of teachers following the call from their Managing director Mr Albert.T.Msafiri.In the picture below is Mr Richard Noel discussing with some of his students in school compound at Kitunda secondary school.Mr Richard is a graduate teacher fom St.JOHNS UNIVERSITY OF TANZANIA.Specializing in Geography and History subjects. (image)(Not translated)Hindura