Zantel na TEYODEN wafanya programu ya ushirikiano ili kuwezesha vijana kuongeza kipato chao na kuwa na uwezo kukabiliana na changamoto za kimaisha. – Vijana wa kata ya kilakala wamefanya kikao cha pamoja na katibu mtendaji wa TEYODEN na mhamasishaji jamii wa kampuni ya ZANTEL.Lengo la kikao ni kufanya majadiliano ya pamoja na kukubaliana juu ya ushirikiano wa pamoja kati ya pende hizo mbili.mhamasishaji wa ZANTEL alieleza kuwa vijana... | (Bila tafsiri) | Hariri |