Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Interview 2 1.Unaishi eneo gani?! Keko Magurumbasi 'A' 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?!
3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?! Vitu vyote vya ndani vimeharibika,TV,kabati,magodoro na vitanda. 4.Mafuriko yameleta athari gani kwenye maisha yako ya kila siku?!
5.Vyanzo vya ubora wa Maji vimepata athari gani kutokana na mafuriko.?! Maji tunayotumia yamechanganyika na maji taka. 6.Kama una kazi inakuchukua muda gani kutoka nyumbani kwako mpaka eneo lako la kazi?! Inanichukua dakika 5 kufika eneo langu la kazi maana nafanya kazi saloon eneo la keko. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe