Envaya

/tawa/news: English: WI00050C4016E95000100110:content

Base (Swahili) English

Interview 2

1.Unaishi eneo gani?!

Keko Magurumbasi 'A'

2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?!

  • Kutengenezwe mkondo wa maji kutoka darajani,mpaka kurasini shelly ili kuruhusa njia ya maji kuelekea bahari ya hindi.
  • Kuwepo na eneo maalumu la kuweka taka.

3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?!

Vitu vyote vya ndani vimeharibika,TV,kabati,magodoro na vitanda.

4.Mafuriko yameleta athari gani kwenye maisha yako ya kila siku?!

  • Yamenirudisha nyuma kimaendeleo.
  • Nimepata magonjwa ya mlipuko

5.Vyanzo vya ubora wa Maji vimepata athari gani kutokana na mafuriko.?!

Maji tunayotumia yamechanganyika na maji taka.

6.Kama una kazi inakuchukua muda gani kutoka nyumbani kwako mpaka eneo lako la kazi?!

Inanichukua dakika 5 kufika eneo langu la kazi maana nafanya kazi saloon eneo la keko.

Interview 2

What 1.Unaishi area!

Keko Magurumbasi 'A'

Your 2.Mtaa What you need something very much!

  • Kutengenezwe stream of water from the causeway, until Kurasini Shelly to support through the water towards the Indian Ocean.
  • The presence and specific location of laying waste.

What 3.Mafuriko localized effect on the house you lived with your things!

All items in null, TV cabinets, mattresses and beds.

What 4.Mafuriko localized effect on your daily life!

  • Yamenirudisha back development.
  • I've had a blast disease

5.Vyanzo of Water Quality has found what impact due to flooding.?!

Yamechanganyika water we use and waste water.

6.Kama inakuchukua how long you work from your home to your area of ​​work?!

Inanichukua 5 minutes to reach my area of ​​work because I work Keko saloon area.


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
April 11, 2012
Interview 2 – What 1.Unaishi area! – Keko Magurumbasi 'A' – Your 2.Mtaa What you need something very much! – Kutengenezwe stream of water from the causeway, until Kurasini Shelly to support through the water towards the Indian Ocean. The presence and specific location of laying waste. What 3.Mafuriko localized effect on the house you lived with your things! – All items in null, TV...