Fungua

/jeanmedia/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
Mtweve: Kujitolea damu hakuna madhara. – Na ASIA KILAMBWANDA, Mtwara Community media – Meneja wa mpango wa uchangiaji damu salama kanda ya kusini, Mtweve Vincent amesema kuwa hakuna madhara yeyote yanoyoweza kutokea endapo mtu atachangia au kutoa damu kwa njia iliyo salama. – Mtweve amesema hayo wakati akiongea na mwandishi wa habari hii ofisini kwake juu ya tathmini ya mwamko wa jamii katika uchangiaji wa damu kwa hiari...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Meneja wa damu salama kanda ya kusini kushoto akiwa na mdau wa damu salama wakionesha fulana lenye ujumbe wa kuhamasisha uchangiaji wa damu.(image) – Meneja Wa Damu Salama Kanda ya kusini kushoto akiwa Rangi mdau Wa Damu Salama wakionesha fulana lenye ujumbe Wa kuhamasisha uchangiaji Wa Damu.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
(image) – Shule ya Sekondari nanyamba iliyopo kata ya nanyamba wilaya ya Mtwara vijijini(Bila tafsiri)Hariri
(image)(image)
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
(image) – Damu salama ikichambuliwa kwa ajili ya kusambazwa katika hospitali za mkoa wa Mtwara na Lindi(Kanda ya kusini)(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Kijiji cha nanyamba kilicho karibu na kata ya nanyamba Halmashauri ya Mtwara Vijijini(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Nembo ya damu salama kwa kiswahili(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Maabara ya kuhifadhia damu salama/Damu salama ikiwa tayari kusambazwa mahospitalini.(image) – Maabara ya kuhifadhia Damu Salama / Damu Salama ikiwa tayari kusambazwa mahospitalini.
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
(image) – Meneja wa Mpango wa uhamasishaji uchangiaji damu Salama kanda ya kusini, Mtweve Vincent.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Maeneo ya shule zilizopo mkoani Mtwara(Bila tafsiri)Hariri