Fungua

/elimishatz/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
(image) ...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Hizo ngoma ndogo nne zinaitwa Tumba au pelekete kwa kwa lugha ya asili ya jamii ya wanayakyusa, kwa ujumal mchezo huo unaitwa SAMBA, huchezwa kwa wakati maalum.(Bila tafsiri)Hariri
(image) ...(Bila tafsiri)Hariri
(image) ...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Acha kushangaa watu muda umetutupa endesha tuwahi shule(Bila tafsiri)Hariri
(image) ...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Baadhi ya vijiji vinahitaji elimu zaidi, ikiwemo ya kuhamasisha usafi wa mazingira ili kuepuka kujisaidia vichakani na kutupa taka hovyo ambazo zinaweza kuleta magonjwa ya mlipuko.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – ELIMISHA inalenga kuwajengea uwezo na kwawezesha wanawake, wanawake hawa licha ya kuwa wazee lakini wameachiwa jukumu la kulea baadhi ya wajukuu zao ambayo ni yatima.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – ELIMISHA inaendelea kupigania utamaduni wa asili wa Mtazania kama vile ngoma za asili, hi ni moja ya ngoma za jamii ya wanyakyusa , inaitwa ING'OMA.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Haya twende kazi tucheze pamoja, tudumishe utamaduni wetu wa asili ili kulinda maadili, ngoma hi inaitwa ING'OMA ni ya jamii ya Wanyakyusa...shirika la ELIMISHA linaendelea kuhamasisha utamaduni huo.(Bila tafsiri)Hariri