Envaya

ELIMISHA

Habari

POOR WOMEN IN MBEYA TANZANIA

SOME WOMEN'S GROUPS, INCLUDING THE ELDERLY AND PATIENTS WITH DISABILITIES, LONG REMAIN VULNERABLE AFTER RUNNING OUT OF FOOD AND TREATMENT IN MBARALI DISTRICT...
Views: 8
0 ratings
Time: 01:53 More in Nonprofits & Activism

FESTO, VIOLENCE IN ELECTIONS.

VIOLENCE THAT ARE CAUSED BY SOME OF THE ELECTION ARE AFFECTING PEOPLE'S LIVES, PROPERTY AND DISCOURAGE PRODUCTIVE ACTIVITIES. For more information to join our reporter Festo Saikgonamo, from Mbeya Tanzania
Views: 1
0 ratings
Time: 02:51 More in Nonprofits & Activism

FESTO, HAMASISHA UTALII WA ASILI UKANDA WA KUSINI

MKUU WA MKOA WA MBEYA BWANA ABBAS KANDORO AMESEMA KUWA JITIHADA ZA KUKUZA UTALII KATIKA UKANDA WA KUSINI MWA TANZANIA ZINAWEZA KUFIKIWA IWAPO ITAUNDWA KAMATI MAALUM AMBAYO ITAONGOZA NA KUAINISHA MAENEO YENYE VIVUTIO AMBAVYO VITAHAMASISHA UJIO WA WAGENI WA NDANI NA NJE YA NCHI. Tujiunge na Festo Sikagonamo kwa taarifa zaidi.
Views: 1
0 ratings
Time: 02:33 More in Nonprofits & Activism

FESTO AMBONI TANGA

MKAKATI WA KUONGEZA WATALII WA NDANI NA NJE KWENDA KATIKA MAPANGO YA KALE YA AMBONI MKOANI TANGA UNAWEZA KUFANIKIWA HARAKA ENDAPO KUTAKUWA NA SIKU MAALUMU YA KUHAMASISHA JAMII KUTEMBELEA KIVUTIO HICHO CHA KIHISTORIA. Taarifa zaidi na Festo Sikagonamo.
Views: 0
0 ratings
Time: 02:40 More in Nonprofits & Activism

FESTO UHARIBIFU WA MAZINGIRA RUNGWE

SHIRIKA LA MAENDELEO YA UMOJA WA MATAIFA UNDP LIMEANZA KUSAIDIA UHIFADHI KATIKA ENEO LA MLIMA RUNGWE KWA AJILI YA KUNUSURU NA KUEPUSHA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI BAADA YA SEHEMU YA MLIMA HUO KUCHOMWA MOTO.
Views: 0
0 ratings
Time: 03:05 More in Nonprofits & Activism

FESTO, ATHARI ZA KUKAUKA KWA MTO RUAHA MKUU

BAADHI YA MAKUNDI YA WANYAMA WAMEANZA KUPOTEZA MAISHA HUKU WENGINE WAKISUBILI KUFA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA RUAHA KUTOKANA NA ATHARI ZA KUKAUKA KWA MTO RUAHA MKUU.
Views: 0
0 ratings
Time: 03:13 More in Education

FESTO, HIFADHI MAZINGIRA KUOKOA VYANZO VYA MAJI

ZAIDI YA HEKTA 50000 ZA KILIMO CHA MPUNGA KINACHOTEGEMEA MAJI KATIKA MABONDE YA USANGU NA PAWAGA KATIKA MIKOA YA IRINGA NA MBEYA ZIKO HATARINI KUKOSA UZALISHAJI NA KUHATARISHA USALAMA WA CHAKULA KWA MIAKA MICHACHE IJAYO BAADA YA HALI YA MAJI KUZIDI KUWA MBAYA...Kwa taaira zaidi bofya kwenye picha.
Views: 0
0 ratings
Time: 02:11 More in Education

PROGRAM YA MAJI RUAHA,BONDE DOGO LA MTO NDEMBELA.

ZAIDI YA WADAU WA MAJI 100 KUTOKA ENEO LA PROGRAMU YA MTO RUAHA MKUU WAMEKUTANA KUJADILI MATATIZO YA MTO HUO AMBAPO MENEJA WA PRPGAMU YA MAJI KUTOKA SHIRIKA LA WWF NCHINI UINGEREZA BWANA ROBERT SMITH AMESEMA KUWA JUHUDI ZAIDI ZINAHITAJIKA ILI KUOKOA HALI YA MTO HUO.
Views: 0
0 ratings
Time: 03:03 More in Education

FESTO,HIFADHI RASILIMALI ZA MAJI

JITIHADA ZA KUOKOA THE GREAT RUAHA NINAWEZA KUFIKIWA HARAKA IWAPO KASI YA KILIMO CHA VINYUNGU KATIKA VYANZO VYA MAJI KILICHOSHAMILI KATIKA MAENEO MENGI WILAYA YA MUFINDI MKOANI IRINGA KIDHIBITIWA HARAKA.
Views: 0
0 ratings
Time: 02:05 More in Education