Fungua

/teyoden/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
TEYODEN na TYVA waongeza nafasi za ushirikiano – TEYODEN na Tanzania Youth Vision Association(TYVA),leo walifanya mkutano wa kuzindua ajenda ya vijana 2010,wakishirikisha asasi nyingine za vijana katika ukumbi wa Karimjee leo ambapo mada ilwasilishwa na mkurugenzi wa hakielimu,Bibi Annastazia Rugaba ambaye pia alibainsha changamoto zinazowakabili vijana kuelekea uchaguzi mkuu na katika harakati za kujikomboa kiuchumi,kisiasa na kiafya. – Kisha baada...TEYODEN Rangi TYVA waongeza nafasi za ushirikiano – TEYODEN Rangi Tanzania Youth Vision Association (TYVA), leo walifanya mkutano Wa kuzindua ajenda ya vijana 2010, wakishirikisha Nyingine asasi za vijana katika ukumbi Wa Karimjee leo ambapo mada ilwasilishwa Rangi mkurugenzi Wa HakiElimu, Bibi Annastazia Rugaba ambaye PIA alibainsha Changamoto zinazowakabili vijana kuelekea uchaguzi mkuu Rangi katika harakati za kujikomboa kiuchumi, kisiasa Rangi kiafya....
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
TAARIFA YA USHIRIKI KATIKA WIKI YA VIJANA NA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE YALIYOFANYIKA MKOA WA KIGOMA TAREHE 8-14 OCTOBER 2010. ...(Bila tafsiri)Hariri
TEYODEN KWA NA KITUO CHA VIJANA CHA MAKANGARAWE WAFANYA TAMASHA KUHADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI KATIKA VIWANJA VYA MAKANGARAWE. – Maneno ya utangulizi – Kwanza kabisa napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza vijana wa kituo cha vijana cha Mangarawe. Jamani si mnajua kwamba sio rahisi sana kufanya kama wenzetu wa Makangarawe walivyofanya,basi tuwape ongera zao.Kwa kweli wamefanya kazi...(Bila tafsiri)Hariri
TAARIFA YA MTANDAO WA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE KWA KIPINDI CHA UTEKELEZAJI CHA MEI JUNI 2009. – KUTOKA: MTANDAO WA MAENDELEO YA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE (TEYODEN) – KWENDA KWA: MKURUGENZI WA HALMASHAURI MANISPAA YA TEMEKE – 1.0 UTANGULIZI – Temeke Youth Development Network (TEYODEN) ni Mtandao wa Maendeleo ya Vijana unaoendeshwa na vijana wenyewe miongoni mwa mitandao 19 iliyotokana na programu ya vijana nje ya shule iliyotekelezwa na Halmashauri 19 nchini Tanzania...(Bila tafsiri)Hariri
Kamati ya Utendaji TEYODEN yajipanga kutekeleza mradi wa Utetezi wa Mabinti wanaofanya kazi kwenye baa – Katika ile hali ya kuwajali wasichana wanaofanya kazi kwenye baa mbalimbali hapa jijini Dar Es Salaam,TEYODEN imeonelea ni vema ikajitahidi kuwatafutia suluhu ya maonevu wanayofanyiwa na wamiliki wa baa. – Katika kikao cha kamati ya utendaji kilichofanyika jumamosi ya tarehe 12 Juni 2010 katika ofisi za TEYODEN,kikihudhuriwa na mwakilishi kutoka Taasisi ya Maendeleo...(Bila tafsiri)Hariri
TAARIFA YA MTANDAO WA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE KWA KIPINDI CHA UTEKELEZAJI CHA OKT-DES 2009. – KUTOKA: MTANDAO WA MAENDELEO YA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE (TEYODEN) – KWENDA KWA: MKURUGENZI WA HALMASHAURI MANISPAA YA TEMEKE – 1.0 UTANGULIZI – Temeke Youth Development Network (TEYODEN) ni Mtandao wa Maendeleo ya Vijana unaoendeshwa na vijana wenyewe miongoni mwa mitandao 19 iliyotokana na programu ya vijana nje ya shule iliyotekelezwa na Halmashauri 19 nchini Tanzania kwa...(Bila tafsiri)Hariri
TEYODEN yajiandaa kuendesha mafunzo ya uanzishaji wa VICOBA Temeke – Katika kupambana na umaskini TEYODEN itaendesha mafunzo kupitia midahalo ya kila wiki kwa vijana wake juu ya uanzishaji wa benki za kijamii,maarufu kama VICOBA. – Mafunzo hayo yataendeshwa kwa njia ya midahalo na mwezeshaji Gabriel Gesine aliyehudhuria mafunzo ya uanzishaji wa VICOBA yaliyoendeshwa na WWF ofisi ya Tanzania pale Maili Moja,Kibaha. ...(Bila tafsiri)Hariri
(image)(image)
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
(image)(image)
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
TEYODEN washiriki katika siku ya vijana kimataifa Agosti 12 – Katika kuendeleza sera yake ya ushirikiano na mashirika mengine ya vijana TEYODEN ilishiriki katika maadhimisho na shirika la vijana la Umoja wa Mataifa (YUNA) kaika kuadhimisha siku ya vijana kimataifa.Maadhimisho hayo yalifanyika katika ukumbi wa Apeadu unaomilkiwa na Umoja wa Mataifa. – Siku hiyo ya vijana ilienda sanjatri na uzinduzi wa mwaka kijana uliozinduliwa na wazirti wa kazi,Ajira na maendeleo...TEYODEN washiriki katika siku ya vijana kimataifa Agosti 12 – Katika kuendeleza sera yake ya ushirikiano Rangi mashirika mengine ya vijana TEYODEN ilishiriki katika maadhimisho ya Rangi shirika la vijana la Umoja Wa Mataifa (YUNA) kaika kuadhimisha siku ya vijana kimataifa.Maadhimisho hayo yalifanyika katika ukumbi Apeadu unaomilkiwa Wa Umoja Wa Mataifa ya Rangi. – Siku hiyo ya vijana ilienda sanjatri Rangi uzinduzi Wa Mwaka kijana uliozinduliwa Rangi wazirti...Hariri
Donation(Bila tafsiri)Hariri
CommentsMaoniHariri
NovemberNovembaHariri
DecemberDesembaHariri
JuneJuniHariri