Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/uvikitwe/news
: Kinyarwanda
1
2
Ahakurikira »
Base
Kinyarwanda
(document)
(Not translated)
Hindura
UVIKITWE GROUP, kupitia ufadhili wa The Foundation For Civil Society, imefanikiwa kutekeleza mradi wa uelimishajirika kwa vijana kuhusu athari za matumizi ya dawa za kulevya na uhusiano wake na maambukizi ya VVU/UKIMWI. Mradi huu umetekalezwa katika wilaya ya Bagamoyo ndani ya kata sita ambazo ni Vigwaza,Chalinze,Ubena,Msata,Miono na Kiwangwa. Mradi huu umeweza kuwafikia vijana tisini (90) wanaotumia na wasiotumia dawa za kulevya. – Mafanikio ya...
(Not translated)
Hindura
Mradi wa elimu ya kina kuhusu uwezo kujikinga na maambukizi ya VVU/UKIMWI kwa wafanya biashara za ngono na watumiaji wa dawa za kulevya katika maeneo ya machimbo ya Dar-pori, Masuguru, Mpepo na Lukarasi yalioko katika wilaya ya Mbinga - mkoa wa Ruvuma. Mradi huu umeweza kuleta mabadiliko makubwa sana kwa wlengwa wa moja kwa moja, baada ya kupewa elimu ya stadi za maisha na kuweza kuwajengea uwezo wa kujitambua na kutambua mahitaji yao ya msingi, pia mradi huu umeweza...
(Not translated)
Hindura
(image) – Baadhi ya akina dada waliokuwa wanafanya biashara ya ngono katika machimbo wilayani Mbinga wakiwa pamoja na uongozi wa Uvikitwe katika ofisi za kata ya Kigonsera Mbinga
(Not translated)
Hindura
(document) (image)
(Not translated)
Hindura
(image)
(Not translated)
Hindura
(image) – Majadiliano katika maeneo ya wazi na wananci wanaoishi kwenye machimbo ya Masuguru Mbinga
(Not translated)
Hindura
(image) – FEMALE CONDOM DEMONSTRATION
(Not translated)
Hindura
Comments
Ibitekerezo
Hindura
January
Mutarama
Hindura
November
Ugushyingo
Hindura
April
Mata
Hindura
May
Gicurasi
Hindura
{month} {day}, {year}
{day} {month}, {year}
Hindura
Kinyarwanda
Kinyarwanda
Hindura
1
2
Ahakurikira »