Envaya

/uvikitwe/news: English

BaseEnglish
(document)(Not translated)Edit
UVIKITWE GROUP, kupitia ufadhili wa The Foundation For Civil Society, imefanikiwa kutekeleza mradi wa uelimishajirika kwa vijana kuhusu athari za matumizi ya dawa za kulevya na uhusiano wake na maambukizi ya VVU/UKIMWI. Mradi huu umetekalezwa katika wilaya ya Bagamoyo ndani ya kata sita ambazo ni Vigwaza,Chalinze,Ubena,Msata,Miono na Kiwangwa. Mradi huu umeweza kuwafikia vijana tisini (90) wanaotumia na wasiotumia dawa za kulevya. – Mafanikio ya...UVIKITWE GROUP, through sponsorship of The Foundation For Civil Society, successfully implement a project for young people about the effects of drug use and its relationship with HIV / AIDS. This project has been implimented in Bagamoyo district into six wards, which are Vigwaza, Chalinze, Ubena, Msata, Miono and Kiwangwa. This project has been able to reach young ninety (90) who use and do not use drugs. – The success of the project ...Edit
Mradi wa elimu ya kina kuhusu uwezo kujikinga na maambukizi ya VVU/UKIMWI kwa wafanya biashara za ngono na watumiaji wa dawa za kulevya katika maeneo ya machimbo ya Dar-pori, Masuguru, Mpepo na Lukarasi yalioko katika wilaya ya Mbinga - mkoa wa Ruvuma. Mradi huu umeweza kuleta mabadiliko makubwa sana kwa wlengwa wa moja kwa moja, baada ya kupewa elimu ya stadi za maisha na kuweza kuwajengea uwezo wa kujitambua na kutambua mahitaji yao ya msingi, pia mradi huu umeweza...Project detailed knowledge about the ability to prevent transmission of HIV / AIDS for sex trade workers and drug users in the areas of Dar-wild quarry, callousness, which is in the wind and District Lukarasi Mbinga - Ruvuma Region. This project has been able to bring significant change to the beneficiary directly, after receiving knowledge of life skills and to build their capacity to recognize and identify their primary, also project you can make a difference to...Edit
(image) – Baadhi ya akina dada waliokuwa wanafanya biashara ya ngono katika machimbo wilayani Mbinga wakiwa pamoja na uongozi wa Uvikitwe katika ofisi za kata ya Kigonsera Mbinga(image) – Some sisters who were working in the sex trade in the quarry with the district Mbinga Uvikitwe leadership in the county offices of Kigonsera MbingaEdit
(document) (image)(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit
(image) – Majadiliano katika maeneo ya wazi na wananci wanaoishi kwenye machimbo ya Masuguru Mbinga(image) – Discussion in open areas and are living in NCI quarry callousness MbingaEdit
(image) – FEMALE CONDOM DEMONSTRATION(Not translated)Edit
CommentsI recentlhttps://geeksquad-appointment.us/y signed up with Ovation credit repair services and I am already SO happy that I did! They are working hard and have already made a positive impact on my credit report. They helped remove negative items from my credit report that shouldn't have been there. This directly caused an increase in my credit score.They were easy to talk to,VERY friendly and easy to understand, and in a country full of terrible customer service, Ovation credit repair customer...Edit
JanuaryJanuaryEdit
NovemberNovemberEdit
AprilAprilEdit
MayMayEdit
{month} {day}, {year}{month} {day}, {year}Edit
KinyarwandaKinyarwandaEdit