Envaya

/M-E-D-1-1/news: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
CHAVITA YALIA NA KUSAHAULIWA NA SERIKALI. Na. Barakaelly Mosi – Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kimesikitishwa na kitendo cha Serikali kuwasahau katika mipango yake na kuwafanya walemavu kuwa omba-omba kutokana na kusahauliwa huko. Hayo yalielezwa na washiriki wa mjadala wa kuangalia changamoto za walemavu wasiosikia (Viziwi) lililoandaliwa na CHAVITA kwa ufadhili wa Jumuia ya Kiraia ya The Foundation...(Not translated)Hindura
Mikakati(Not translated)Hindura
Je Wajua?(Not translated)Hindura
SHULE TUNAZO; VITENDEAKAZI JE? – Wakati serikali yetu ikijinadi kuwa imepata mafanikio makubwa katika kuwezesha watoto wengi kujiunga na elimu ya msingi hapa nchini; bado kuna umuhimu mkubwa wa serikali kutafakari kwa kina kile watoto hawa wanachokipata katika shuleni hizo. – Ni ukweli usiopingika kwamba shule zetu za msingi zimepata wanafunzi wengi ambao kwa hakika wamejiunga na shule za msingi kwa ajili ya kupata elimu...(Not translated)Hindura
Picha za Matukio(Not translated)Hindura
(image) – Katika Bunge hili la Tano; Mswada wa kujadili kuanzishwa kwa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utajadiliwa. Usikose kuwasilisha mawazo yako; KATIBU SANA.(Not translated)Hindura
MCHAKATO WA KUPATA WAJUMBE WA BODI YA MED WAANZA. Na. Bentez Fares. – Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imeanza mchakato wa kutafuta Wajumbe wa Bodi yake kwa ajli ya kusimamia shughuli za Asasi hiyo. Mchakato huu umeanza siku chache baada ya MED kuwasilisha Katiba na vielelezo muhimu kwenye Ofisi ya Msajili wa Asasi za Kiraia katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto na kuahidikwa kupata hati ya usajili ifikapo Ijumaa ya tarehe 10 Februari;...(Not translated)Hindura
MARAFIKI WAJADILI NAMNA YA KUBORESHA MMES II- MOROGORO – Wawakilishi wa harakati za Marafiki wa Elimu kutoka kanda tatu za Mashariki, Kusini na Nyanda za juu Kusini; walikutana mjini Morogoro kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu mustakabali wa Elimu na namna nzuri ya kuboresha ushiriki wa wananchi katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Elimu. – Aidha washiriki hao...(Not translated)Hindura
(image) – Kazi ya kufuatiliaa taarifa za Changamoto za Elimu kwa Wanafunzi wa shle ya Kata ya Mbabala Sekondari Manispaa ya Dodoma.(Not translated)Hindura
Kutoka Mitaani(Not translated)Hindura
Wafadhili(Not translated)Hindura
MED Yaanza Mchakato wa kupata Usajili wa Kudumu. (Na Prince Kimaro) – Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imeingia katika mchakato wa kupata usajili wa NGO ili kuongeza ufanisi katika kazi zake baada ya kufanya kazi kama CBO kwa kipindi cha miaka mitatu. (image) – Mratibu wa MED na mwanaharakati wa Elimu na Maendeleo Mkoani Dodoma Bw. Davis Makundi amesema ana uhakika kwa kazi zilizofanywa na MED...(Not translated)Hindura
KIKUYU YAUNDA KAMATI YA KURATIBU SHUGHULI ZA CLUB ZA MARAFIKI – Marafiki wa Elimu katika shule ya Sekondatri Kikuyu wameamua kuunda kamati ya shule kwa ajili ya kuratibu shughuli za Marafiki ili kuongeza ufanisi na uendelevu wa harakati za Marafiki katika shule hiyo. ...(Not translated)Hindura
BIASHARA UTOTONI NA ELIMU – Mtoto Samson Hezron (11) mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya Msingi Ngh'ongh'onha katika Manispaa ya Dodoma ni miongoni mwa wanafunzi wa shule za msingi wanao juihusisha na biashara wakiwa na lengo la kusaidia kuinua kipato cha familia zao. – (image) Samson akionge na MED alisema kuwa anafanya biashara ya miwa ili kuongeza kipato kwenye familia na kuweza kupata fedha za kukidhi mahitaji yake muhimu...(Not translated)Hindura
Matukio Yajayo(Not translated)Hindura