CHAVITA YALIA NA KUSAHAULIWA NA SERIKALI. Na. Barakaelly Mosi – Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kimesikitishwa na kitendo cha Serikali kuwasahau katika mipango yake na kuwafanya walemavu kuwa omba-omba kutokana na kusahauliwa huko. Hayo yalielezwa na washiriki wa mjadala wa kuangalia changamoto za walemavu wasiosikia (Viziwi) lililoandaliwa na CHAVITA kwa ufadhili wa Jumuia ya Kiraia ya The Foundation... | CHAVITA YALIA and forgotten by the government. And. First Barakaelly – Deaf Association of Tanzania (CHAVITA) kimesikitishwa the act of forgetting the Government plans to make the disabled have prayed-prayed for oblivion there. These were described by participants of the discussion to look at the challenges of disabled Deaf (Deaf), organized and financed by Community CHAVITA Society of The Foundation for Civil Society. ... | Edit |