Log in

/M-E-D-1-1/news: English

BaseEnglish
CHAVITA YALIA NA KUSAHAULIWA NA SERIKALI. Na. Barakaelly Mosi – Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kimesikitishwa na kitendo cha Serikali kuwasahau katika mipango yake na kuwafanya walemavu kuwa omba-omba kutokana na kusahauliwa huko. Hayo yalielezwa na washiriki wa mjadala wa kuangalia changamoto za walemavu wasiosikia (Viziwi) lililoandaliwa na CHAVITA kwa ufadhili wa Jumuia ya Kiraia ya The Foundation...CHAVITA YALIA and forgotten by the government. And. First Barakaelly – Deaf Association of Tanzania (CHAVITA) kimesikitishwa the act of forgetting the Government plans to make the disabled have prayed-prayed for oblivion there. These were described by participants of the discussion to look at the challenges of disabled Deaf (Deaf), organized and financed by Community CHAVITA Society of The Foundation for Civil Society. ...Edit
MikakatiStrategiesEdit
Je Wajua?Did you know?Edit
SHULE TUNAZO; VITENDEAKAZI JE? – Wakati serikali yetu ikijinadi kuwa imepata mafanikio makubwa katika kuwezesha watoto wengi kujiunga na elimu ya msingi hapa nchini; bado kuna umuhimu mkubwa wa serikali kutafakari kwa kina kile watoto hawa wanachokipata katika shuleni hizo. – Ni ukweli usiopingika kwamba shule zetu za msingi zimepata wanafunzi wengi ambao kwa hakika wamejiunga na shule za msingi kwa ajili ya kupata elimu...We SCHOOLS; VITENDEAKAZI WHAT? – While our government has ikijinadi be successful in enabling children to join primary education in the country, there is still a great need for government to reflect the depth of what these children are found out in these schools. – It is a fact that our primary schools have received many students who have actually enrolled in primary school education for getting this important to their...Edit
Picha za MatukioPhotos of EventsEdit
(image) – Katika Bunge hili la Tano; Mswada wa kujadili kuanzishwa kwa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utajadiliwa. Usikose kuwasilisha mawazo yako; KATIBU SANA.(image) – In the Fifth Parliament, a Bill to discuss the establishment of New Constitution of the United Republic of Tanzania will be discussed. Please submit your ideas, SECRETARY SANA.Edit
MCHAKATO WA KUPATA WAJUMBE WA BODI YA MED WAANZA. Na. Bentez Fares. – Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imeanza mchakato wa kutafuta Wajumbe wa Bodi yake kwa ajli ya kusimamia shughuli za Asasi hiyo. Mchakato huu umeanza siku chache baada ya MED kuwasilisha Katiba na vielelezo muhimu kwenye Ofisi ya Msajili wa Asasi za Kiraia katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto na kuahidikwa kupata hati ya usajili ifikapo Ijumaa ya tarehe 10 Februari;...PROCESS OF GETTING TO MEMBERS OF THE BOARD OF ONE. And. Bentez Fares. – Organization Friends of Education Dodoma (TO) has begun the process of searching for members of the Board to manage a way that gives the alliance activities. This process started a few days after TO the Constitution and submit necessary documents to the Office of the Registrar of Civil Society in the Ministry of Social Development, Gender and Children and kuahidikwa get a certificate of...Edit
MARAFIKI WAJADILI NAMNA YA KUBORESHA MMES II- MOROGORO – Wawakilishi wa harakati za Marafiki wa Elimu kutoka kanda tatu za Mashariki, Kusini na Nyanda za juu Kusini; walikutana mjini Morogoro kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu mustakabali wa Elimu na namna nzuri ya kuboresha ushiriki wa wananchi katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Elimu. – Aidha washiriki hao...FRIENDS DISCUSS HOW TO IMPROVE SEDP II-MOROGORO – Representatives of the movement of the Friends of Education from the three regions of East, South Highlands South, met in Morogoro to discuss various issues concerning the future of education and how best to improve citizen participation in the implementation of development plans for education. – In addition participants were commended...Edit
(image) – Kazi ya kufuatiliaa taarifa za Changamoto za Elimu kwa Wanafunzi wa shle ya Kata ya Mbabala Sekondari Manispaa ya Dodoma.(image) – Work kufuatiliaa information Challenges to Education for Students shle Mbabala County High School in Dodoma Municipality.Edit
Kutoka MitaaniFrom the StreetsEdit
WafadhiliDonorsEdit
MED Yaanza Mchakato wa kupata Usajili wa Kudumu. (Na Prince Kimaro) – Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) imeingia katika mchakato wa kupata usajili wa NGO ili kuongeza ufanisi katika kazi zake baada ya kufanya kazi kama CBO kwa kipindi cha miaka mitatu. (image) – Mratibu wa MED na mwanaharakati wa Elimu na Maendeleo Mkoani Dodoma Bw. Davis Makundi amesema ana uhakika kwa kazi zilizofanywa na MED...WITH Resumes process of getting permanent registration. (The Prince Kimaro) – Friends of the Educational Institutions of Dodoma (WITH) has entered a process of NGO registration in order to increase efficiency in its operations after working as a CBO for the past three years. (image) – WITH the Coordinator of Education and Human rights activist Mr. Dodoma Region. Davis said group has made and...Edit
KIKUYU YAUNDA KAMATI YA KURATIBU SHUGHULI ZA CLUB ZA MARAFIKI – Marafiki wa Elimu katika shule ya Sekondatri Kikuyu wameamua kuunda kamati ya shule kwa ajili ya kuratibu shughuli za Marafiki ili kuongeza ufanisi na uendelevu wa harakati za Marafiki katika shule hiyo. ...Kikuyu YAUNDA Coordinating Committee ACTIVITIES CLUB OF FRIENDS – Friends of Education in School Sekondatri Kikuyu have decided to form a school committee for coordinating the activities of the Friends to increase efficiency and sustainability of the movement of Friends in school. ...Edit
BIASHARA UTOTONI NA ELIMU – Mtoto Samson Hezron (11) mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya Msingi Ngh'ongh'onha katika Manispaa ya Dodoma ni miongoni mwa wanafunzi wa shule za msingi wanao juihusisha na biashara wakiwa na lengo la kusaidia kuinua kipato cha familia zao. – (image) Samson akionge na MED alisema kuwa anafanya biashara ya miwa ili kuongeza kipato kwenye familia na kuweza kupata fedha za kukidhi mahitaji yake muhimu...Early BUSINESS AND EDUCATION – Child Hezron Samson (11) fourth grade student in primary school Ngh'ongh'onha in Dodoma Municipality is among the students of primary schools who juihusisha business with the goal of helping raise the income of their families. – (image) WITH Monge and Samson was said to be doing the business of sugar to increase the family income and to obtain money to meet critical needs including school uniforms...Edit
Matukio YajayoUpcoming EventsEdit