Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/jeanmedia/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
PICHA MBALI MBALI ZA ATHARI ZA MAFURIKO JIJINI DAR-ES-SALAAM – (image) – (image) – Maji machafu karibu ya makazi ya watu na nyumba zizilojengwa kwenye maeneo hatarishi, – endapo mvua kubwa zitatokea tena ...
(Bila tafsiri)
Hariri
ATHARI ZA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM – Kutokana na mafuriko yaliyolikumba jiji la Dar es salaam,tarehe 20/12/2011 wananchi wengi mpaka sasa hawana makazi ya kudumu na huduma za afya zimezidi kuzorota kwa kiwango kikubwa. – Takwimu zinaonesha kuwa watu wapatao 41 wamefariki dunia kutokana na mafuriko hayo,wakati wengine mamia wamepoteza makazi na mali zao.Baada ya tukio hilo kutokea serikali na wadau wengine walishirikiana kuhakikisha kuwa misaada ya hali na...
ATHARI ZA mafuriko JIJINI DAR ES SALAAM – Kutokana Rangi mafuriko yaliyolikumba Jiji la Dar es salaam, tarehe 20/12/2011 wananchi wengi Mpaka Sasa hawana makazi ya kudumu Rangi huduma za Afya zimezidi kuzorota Kwa kiwango kikubwa. – Takwimu zinaonesha kuwa watu wapatao 41 wamefariki Dunia kutokana Rangi mafuriko Hayo, wakati wengine wamepoteza makazi mamia Rangi mali zao.Baada ya tukio hilo kutokea serikali Rangi wadau wengine walishirikiana kuhakikisha kuwa...
Hariri
MAISHA MAPYA MABWEPANDE BAADA YA MAFURIKO. – Ni mji mpya kwa sasa,unaopatikana km 37 kutoka jijini Dar es salaam na upo upande wa kusini magharibi mwa jiji hilo,unaotegemewa kukaliwa na familia zipatazo 1800,baada ya makazi yao kuharibiwa kwa mafuriko ya tarehe 20/12/2011. – Jumapili ya tarehe 22/01/2012,msururu wa magari ya jeshi la wananchi wa Tanzania ukiambatana na viongozi wengine wa mkoa wa Dar es salaam,waliwasili katika eneo la Mabwepande tayari kuwakabidhi...
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) ilikuwa ni tarehe 20/12/201, usiku na kuamkia tarehe 21/12/2011 wananchi wa jiji la Dar es salaam walijikuta katika wakati mgumu mara baada ya kukumbwa na mafuriko,ambayo yaliwaacha baadhi ya wakazi wa jiji hili wakiwa hawana makazi ya kuishi huku wengine wapatao 41 wakipoteza maisha. – Kutokana na hali hiyo,serikali,taasisi,mashirika na watu binafsi walijitoa kwa hali na mali kuhakikisha kuwa wahanga wa mafuriko wanasaidiwa,kwa...
(Bila tafsiri)
Hariri
ELIMU YA STASDI ZA MAISHA. – Mimba za utotoni na utumiaji wa dawa za kulevya nchini Tanzania limekuwa ni tatizo linalokuwa siku hadi siku.Takwimu zinaonesha kuwa watoto wenye umri kuanzia miaka 9-25,ndio wanaoathirika kwa kiwango kikubwa na tatizo hili. – Mwaka 2008 katika shule ya msingi Ilagala mkoani Kigoma binti wa miaka tisa alionekana kuwa na ujauzito ,hali ambayo ilihatarisha maisha yake na kiumbe kilichokuwa tumboni.Mwaka 2006 wanafunzi 64 wa kike...
(Bila tafsiri)
Hariri
UCHUNGUZI ZAIDI WA MAENEO YALIYOATHIRIKA NA MAFURIKO UNAHITAJIKA. – Baada ya mafuriko yaliyotokea tarehe 20/12/2011 kuacha familia zaidi ya 1800 zikiwa hazina makazi,upotevu wa mali na vifo vya watu zaidi ya 41,imebainika kuwa kuna haja ya kufanya uchunguzi akinifu ili kubaini madhara zaidi yaliyopatikana kutokana na ukweli kuwa...
(Bila tafsiri)
Hariri
HALI HALISI YA MAISHA BAADA YA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM – kama umebahatika kutembelea maeneo ambayo yamekumbwa na mafuriko katika jiji hili,hali ni mbaya sana kwa wakazi wa maeneo hayo.Nyumba nyingi ziko kwenye tope zito huku tope hilo likiwa limechanganyika na kinyesi cha binadamu. – hali ya maisha kwa ujumla imekuwa ngumu sana kiasi kwamba wengine wamekata tamaa ya kuishi.Wapo wazazi ambao wana watoto wa shule,lakini tangu shule zinafunguliwa hawajaenda...
(Bila tafsiri)
Hariri
MAZINGIRA HATARISHI KWA WAKAZI WA BONDE LA MTO MZINGA. – Baada ya mafuriko kulikumba jiji la Dar es salaam hapo tarehe 20/12/2011 na kuacha hasara kubwa kwa wakazi wa jiji hili,serikali ilichukua hatua za dharura kuhakikisha kuwa huduma za chakula,malazi na mavazi zinaendelea zinaendelea kupatikana kwa waathirika wa mafuriko hayo. – Ukubwa wa tatizo hili umesababisha baadhi ya familia...
(Bila tafsiri)
Hariri
CREATING FRIENDSHIP BETWEEN CHILDREN OF BAGAMOYO TANZANIA AND CHILDREN OF SAGAMIHARA JAPAN, BY JEAN media/ENVAYA ORGANIZATION. – (image) – With the JEAN media mission being; ...
KUTUNGA FRIENDSHIP BAINA YA WATOTO BAGAMOYO TANZANIA NA WATOTO WA SAGAMIHARA JAPAN, KWA Jean vyombo vya habari / ENVAYA ORGANIZATION. – (image) – Pamoja na Jean vyombo vya habari kuwa lengo; ...
Hariri