TEYODEN na TYVA waongeza nafasi za ushirikiano – TEYODEN na Tanzania Youth Vision Association(TYVA),leo walifanya mkutano wa kuzindua ajenda ya vijana 2010,wakishirikisha asasi nyingine za vijana katika ukumbi wa Karimjee leo ambapo mada ilwasilishwa na mkurugenzi wa hakielimu,Bibi Annastazia Rugaba ambaye pia alibainsha changamoto zinazowakabili vijana kuelekea uchaguzi mkuu na katika harakati za kujikomboa kiuchumi,kisiasa na kiafya. – Kisha baada... | TYVA TEYODEN and multiply the chances of cooperation – TEYODEN and Tanzania Youth Vision Association (TYVA), today held a meeting to launch the agenda of youth in 2010, they involve other institutions of youth in the hall Karimjee today where topics ilwasilishwa and director of education, Mrs Annastazia Rugaba who also bainsha challenges facing the youth towards elections and in pursuit of economic emancipation, political and health issues. – And... | Edit |