Base (Swahili) | English |
---|---|
TAARIFA YA MTANDAO WA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE KWA KIPINDI CHA UTEKELEZAJI CHA MEI JUNI 2009. KUTOKA: MTANDAO WA MAENDELEO YA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE (TEYODEN) KWENDA KWA: MKURUGENZI WA HALMASHAURI MANISPAA YA TEMEKE 1.0 UTANGULIZI Temeke Youth Development Network (TEYODEN) ni Mtandao wa Maendeleo ya Vijana unaoendeshwa na vijana wenyewe miongoni mwa mitandao 19 iliyotokana na programu ya vijana nje ya shule iliyotekelezwa na Halmashauri 19 nchini Tanzania kwa ufadhili wa UNICEF. Mtandao umesajiriwa chini ya ofisi ya Makamu wa Raisi, namba ya usajiri ni OONGO/0170.TEYODEN inasimamia na kuratibu shughuli zake katika vituo 24 vya vijana vilivyopo katika kata 24 za Manispaa ya Temeke. 1.1 Dira ya TEYODEN Kuwa Mtandao bora wa Maendeleo ya vijana Tanzania unaowezesha vijana kuwajibika vya kutosha katika kubadili tabia hatarishi na kujiletea katika vituo vya vijana vya kata na asasi wanachama wa TEYODEN. 1.3 Lengo kuu la TEYODEN Kuchangia juhudi za kuleta maendeleo endelevu na thabiti ya tabia na mienendo ya vijana katika mahusiano yao hususani katika masuala ya ngono ili kupunguza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi na kutekeleza mkakati wa kupunguza umasikini ili kufikia malengoya milenia (MDG`s) 2.0 SHUGHULI ZILIZOFANYIKA • Katika miezi 3-(Julay -sept)ya utekelezaji, shughuli zifuatazo zilitekelezwa: 2.1 Ufuatiliaji wa shughuli za vijana baada ya mafunzo ya kujenga uwezo Baada ya mchakato wa mafunzo ya kujenga uwezo vijana wawakilishi walirudi katika kata zao na kufanya utekelezaji katika kata zao. Katika ziara ya ufuatiliaji wa matokeo makuu ya mradi (project impact) mambo yafuatayo yalijitokeza Vijana wanaendeleza matunda ya mradi kwa kuendeleza dhana ya kujitegemea mfano kata ya Vituka, Charambe, Azimio na miburani wapo katika michakato ya kufungua akaunti japo kuwa benki zinamasharti magumu kwa vikundi vidogo vya kijamii. 2.2 Uibuaji wa mradi wa kuamsha ari ya uwajibikaji na ushiriki wa vijana katika masuala ya kijamii na kimaendeleo. Katika kipindi cha utekelezaji wa taarifa idara ya tafiti na takwimu iliendesha vikao 4 vya vijana vya kuibua mradi wa kiwango cha kati na kuuwasilisha The Foundation for civil society kwaajili ya maamuzi ya kupatiwa fedha.mradi huu unajulikana kama kuongeza ari ya uwajibikaji kwa vijana katika shughuli za kijamii na maendeleo manispaa ya Temeke. 2.3 Mjadala wa vijana centre 1 Kama ilivyo kawaida kwa vijana wa TEYODEN kufanya midahalo kila jumamosi mbili katika mwezi.katika kipindi cha taarifa vijana walifanya midahalo 6 na wastani wa vijana 120 walishiriki katika midahalo hiyo. 2.4 Mafunzo ya kujenga uwezo wa watendaji wa TEYODEN. Katika kipindi cha taarifa viongozi na wanachama wa TEYODEN walipata nafasi ya kuhudhuria mafunzo ndani na nje ya mkoa wa Daresalaam kama ifutavyo:- Ushiriki wa vijana 30 katika mafunzo ya ujasiriamali ukumbi wa vijana centre ilala Lengo la mafunzo - Lengo la mafunzo haya ni kuinua uelewa wa vijana katika stadi za ujasiriamali ili kukuza biashara zao na kujiepusha na makundi rika na kuondoa uamsikini miongoni mwao. Ushiriki wa vijana 30 katika mafunzo ya ujasiriamali yaliyoandaliwa na Safer Cities kupitia Sustainability Cities.yalioyofanyika katika ukumbi wa karimjee. Lengo la mafunzo - Lengo la mafunzo haya ni kuinua uelewa wa vijana katika stadi za ujasiriamali ili kukuza biashara zao na kujiepusha na makundi rika na kuondoa uamsikini miongoni mwao. Ushiriki wa mweka hazina wa TEYODEN katika mafunzo ya uhasibu MTCDC chini ya ufadhili wa The Foundation for Civil Society. Lengo la mafunzo:- Lengo la mafunzo haya ni kuwezesha washiriki kuwa na uwezo wa washriki kuendesha shughuli za mahesabu katika Asasi zao kwa uwazi na uwajibikaji. Ushriki wa mwakilishi mmoja kutoka TEYODEN katika mafunzo ya ushiriki na ushirikishwaji wa vijana katika shughuli za kijamii mafunzo yaliyofanyikia morogoro. Lengo la mafunzo:- Lengo la mafunzo haya ni kuwezesha washiriki kujua haki na wajibu wa jamii kushiriki katika shughuli za kijamii na kuwa wawezeshaji kwa vijana wengine Ushiriki wa mwakilishi mmoja wa TEYODEN katika mafunzo ya mbinu za kutunisha mfuko wa asasi yaliyofanyika mbezi garden jijini Daresalaam kwa ufadhili wa The Foundation For Civil Society. 2.5 Ushiriki wa mwakilishi mmoja wa TEYODEN katika safari ya upandaji mlima iliyoandaliwa na Kilimanjaro initiative kupitia Safer Cities. 2.6 Uandishi na uwakilishi wa Andiko la miradi kwa wafadhili TEYODEN katika kipindi cha utekelezaji wa taarifa hii imeibua kutayarisha na kuwasilisha maombi yafutayo ya fedha:- -Mradi wa uchimbaji wa kisima cha umwagiliaji katika kambi ya vijana ya Somangira. Mradi huu umewasilisha katika ubalozi wa ujerumani. - Mradi wa kudarizi na ushonaji kwa vijana wa kike walio nje ya shule 80 kutoka kata 5 za Azimio, Makangarawe, Sandali, Vituka na Tandika.Mradi huu umewasilishwa katika ofisi za ubalozi wa Ujerumani. 3.0 KAZI ZILIZOPANGWA KUFANYIKA 3.1 TEYODEN imepanga kufanya mambo yafuatayo:- -Kufanya uhamasishaji kwa vijana kuhusu uibuaji wa vijana na watoto wanaofanyiwa ukatili. -Uhamasishaji kwa vijana katika ushiriki wa nane nane ngazi ya wilaya na ngazi kanda. -Uhamasishaji wa vijana katika ushiriki wa mkutano wa kambi ya dunia utakaofanyika kuanzia tarehe 21/7/2009 hadi 27/8/2009 katika ukumbi wa sabasaba karume hall. -Ushiriki wa vijana katika shughuli za uvuvi katika pwani ya bahari ya hindi maeneo ya vijibweni. 4.0 :HITIMISHO TEYODEN inaamini kuwa mabadiliko kwa vijana yatakayochangia maendeleo ya vijana yanawezekana kama vijana wanapewa uzito unaostahili katika kupanga, kutekeleza, kufuatilia na kutathmini shughuli zinazowahusu. Viongozi wa TEYODEN na vijana siku hadi siku wamekuwa wakiongezewa uwezo katika kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao ipasavyo.Hivyo tunawashauri wadau kutumia fursa hii adimu kwa kuwatumia ili kutatua matatizo ya vijana yanayowakabili . |
INFORMATION NETWORK OF YOUTH Temeke Municipality SESSION FOR ACTION MAY TO JUNE 2009. FROM: THE DEVELOPMENT OF YOUTH NETWORK Municipal Temeke (TEYODEN) GO TO: DIRECTOR OF COUNCIL Temeke Municipality 1.0 INTRODUCTION Temeke Youth Development Network (TEYODEN) is the Youth Development Network is run by young people themselves among the 19 networks derived from programs outside of school youth councils iliyotekelezwa and 19 in Tanzania with funding from UNICEF. The network has sajiriwa under the Vice President's office, the registration number is OONGO/0170.TEYODEN oversees and coordinates its activities with young people in 24 centers located in 24 wards Temeke Municipality. 1.1 Vision TEYODEN Be the best Web Development Tanzania enabling young teens responsible enough in changing risky behavior and stairway in youth centers and institutions of the county members of TEYODEN. 1.3 The main objective of TEYODEN Contribute to efforts to bring sustainable and steady development of character and behavior of young people in their relations particularly in matters of sex to reduce the speed of transmission of HIV and to implement poverty reduction strategy to achieve the millennium malengoya (MDG 's) 2.0 Activities undertaken • At 3 months - (Julay-sept) of implementation, the following activities zilitekelezwa: 2.1 Monitoring the activities of the youth after training in capacity building After the training process of building capacity in the youth representatives were returned to their wards and make implementation in their county. During the monitoring visit of the main results of the project (project impact) reflected the following factors Young people are developing the fruit of a project to develop the concept of self-cut example of the uneasy, Charambe, miburani Declaration and processes are at least open a bank account zinamasharti difficult for small community groups. 2.2 Uibuaji activate the project a sense of accountability and participation of youth in social and developmental issues. During the execution of a statement of research and statistics department conducted four sessions with young people to explore the project-level and kuuwasilisha The Foundation for Civil Society in favor of making the supplied fedha.mradi This is known as increasing a sense of accountability for youth activities social and municipal development Temeke. 2.3 Discussion of a youth center As is common for young TEYODEN debating every Saturday in mwezi.katika past two teens did report six debates with the average 120 young people participated in this debate. 2.4 Training, capacity building of officials TEYODEN. During the statement the leaders and members of TEYODEN got a chance to attend training within and outside the region of Daresalaam as follows: - Participation of 30 youth entrepreneurship training for young center hall Ilala The goal of training - The goal of this training is to raise awareness of youth in entrepreneurial skills to promote their business and avoid peer groups and eliminate the poor among them. Participation of 30 youth entrepreneurship training organized by the Safer Cities through Sustainability Cities.yalioyofanyika in Karimjee hall. The goal of training - The goal of this training is to raise awareness of youth in entrepreneurial skills to promote their business and avoid peer groups and eliminate the poor among them. Participation treasurer of TEYODEN in accounting MTCDC training under the auspices of The Foundation for Civil Society. The goal of training: - The goal of this training is to enable participants to be able to participate in activities run calculations in their organizations for transparency and accountability. Participate in the one representative from TEYODEN in training and participation of youth participation in social activities training yaliyofanyikia Morogoro. The goal of training: - The goal of this training is to enable participants to know the right and duty of society to participate in social activities and other youth facilitators Participation of one representative of TEYODEN in training methods to fund the organization held in Daresalaam garden arrogant person for funding The Foundation For Civil Society. 2.5 Participation of one representative of TEYODEN in planting trip organized by Mount Kilimanjaro through the Safer Cities Initiative. 2.6 Writing to a text representation of projects by donors TEYODEN during the implementation of this report imeibua prepare and submit funding applications for the following: - -The project of extraction of well irrigation in the youth camp Somangira. This project has been presented at the German embassy. - Decoration and sewing project for young... |
Translation History
|