Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
TEYODEN washiriki katika siku ya vijana kimataifa Agosti 12 Katika kuendeleza sera yake ya ushirikiano na mashirika mengine ya vijana TEYODEN ilishiriki katika maadhimisho na shirika la vijana la Umoja wa Mataifa (YUNA) kaika kuadhimisha siku ya vijana kimataifa.Maadhimisho hayo yalifanyika katika ukumbi wa Apeadu unaomilkiwa na Umoja wa Mataifa. Siku hiyo ya vijana ilienda sanjatri na uzinduzi wa mwaka kijana uliozinduliwa na wazirti wa kazi,Ajira na maendeleo ya vijana,mheshimiwa Al-Haji Juma Athuman Kapuya,ambapo alibainisha changamoto zinazowakabili viaja katika ajira kuwa ni pamoja na kutokuwa waaminfu pale wanapopata ajira,kutofanya kazi kwa kujituma,uadilifu katika maeneo ya kazi na kukosa ujzi unaopelekea kutokujiamini wakati wanapokuwa kwenye usaili wakazi. Kauli mbiu ya mwaka huu ilikuwa ni "mwaka wetu,Sauti yetu", iliyokuwa na kchwa cha habari,"Majdiliano na makubaliano ya pamoja".
|
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe