Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
Ndazigula: Walimu hakikisheni idadi ya wasiojua kusoma kuandika inapungua Na ASIA KILAMBWANDA Mwenyekiti wa halmashauri ya Mtwara vijijini Musa Saidi Ndazigula amewataka walimu kuhakikisha idadi ya wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika inapungua au kutoweka kabisa kwa kuhakikisha anajitioa kutumia muda wa ziada kuwasaidai wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika . Ndazigula amesema hayo katika ufunguzi wa mafunzo ya siku 4 ya waalimu wa darasa la kwanza na la pili katika halmashauri ya wilaya ya Mtwara vijijini yenye lengo la kuwafundisha mbinu bora za ufundishaji wa madarasa ya kwanza na yaq pili yaliyo chini ya shirika la kuhuduma watot UNICEF. Ameongeza kuwa Halmashauri ya Mtwra vijijini jumla ya wanafunzi 46440 kati ya hao wanafunzi wasiojua kusoma ni , kuandika na kuhesabu ni 3400 huku akiwataja waalimu kuwa chanzo kikubwa cha idadi hiyo. Aidha Ndazigula ametaka waalimukupitia kwa kina changamoto zinazo wakabili katika utekelezaji wa elimu katika Halmashauri ya wilaya ya Mtwara na kuibua mbimu na mikakakti imara itakayo wasidia kuboresha hali ya taaluma Kwa niaba ya upande wa washirika wa mafunzo ya hayo wametajam changamota zinazoikabili sekta ya elimu kwa kuwa na idadi ya kubwa ya watoto wasiojua kusoma , kuandika na kuhesabu katika halmashauri ya Mtwara vijijini kuwa ni pamoja na umasikini , uelewa mdogo wa wazazi , mlundikano watoto darasani na baadhi ya watoto kuto taka kuandika . Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ndazigula imesema kuwa kabla ya lkuanza kwa mpango wa Maendeleo ya Elimu ya msingi (MMEM), Karibu nusu ya watoto wenye kustshili kuingia shule ya msingi hawakuwa wakiandikishwa shuleni kila mwaka na zaidi ya hapo watoto wenye umri mkubwas wa miaka 8-13 walikuwa waiandikishwa kuanza darasa la kwanza sambamba na wale wenye umri wa miaka 7 hali hii ilisababishakwepo kwa idadi ya kubwa ya watoto wanaokadiriwa kufikia takribani milioni 2.5wanaokosa elimu ya na wale wanaoachashule kabla ya kumaliza darasa la saba. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe