About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/M-E-D-1-1/news
: English
1
2
Next »
Base
English
Mikakati
Strategies
Edit
Je Wajua?
Did you know?
Edit
Picha za Matukio
Photos of Events
Edit
Kutoka Mitaani
From the Streets
Edit
Wafadhili
Donors
Edit
Matukio Yajayo
Upcoming Events
Edit
Washirika
Partners
Edit
WASICHANA NA CHANGAMOTO KATIKA MABARAZA YA WANAFUNZI – Ikionekana kama ilishazoeleka ya kuwa viongozi wengi wanaopaswa kuongoza kundi au vikundi vya watu ni lazima awe mwanaume na hivvyo kuchangia kwa kiasi kikubwa kuendelea na ile dhana ya mfumo dume katika jamii zetu. ...
GIRLS AND CHALLENGES IN THE COUNCIL OF STUDENTS – Regarded as ilishazoeleka that many leaders who should lead the group or groups must be a man and hivvyo contribute significantly to proceed with the concept of patriarchy in our society. ...
Edit
(image) – Huu ni muonekano wa mbele wa choo hicho.
(image) – This is a view of the front of the toilet.
Edit
MIAKA SABA SHULE HAINA MWALIMU WA HESABU – Wakati serikali ikiwa imeunda tume ya kuchunguza chanzo cha matokeo mabaya ya kidato cha nne kwa mwaka 2012, zipo sababu nyingi zinazoonyesha dalili za awali za majibu yatakayoletwa na tume hiyo mara baada ya kukamilika kwa uchunguzi wake. ...
It SEVEN YEARS SCHOOL TEACHER OF NUMBERS – With the government has created a commission to investigate the cause of the poor performance of the fourth form in 2012, there are many reasons that show early signs yatakayoletwa response to the commission soon after the completion of the investigation. ...
Edit
WAKETI KWENYE UDONGO DARASANI KWA UHABA WA MADAWATI – Wanafunzi katika shule ya msingi Chalula iliyopo Mvumi Makulu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wanakabiliwa na uhaba wa madawati na kusababisha kuketi chini huku baadhi ya madarasa yakiwa hayana sakafu. – Hayo yalibainika hivi...
SOIL CLASS sat on benches shortages – Students in elementary school Chalula existing rumors Makulu Chamwino District in Dodoma are faced with a shortage of desks and cause to sit down with some classes being not contain floor. – That yalibainika recently during the visit made...
Edit
(image) – Kiranja Mkuu wa Shule ya Msingi Ndebwe Iliopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma,Rossemary Masaka. Haya ni moja ya mafanikio ya mradi wa HAKI ZANGU SAUTI YANGU,mradi ambao umeleta mapinduzi katika chaguzi mashuleni Wilayani Chamwino tofauti na zamani ambapo walimu ndio walikuwa wakiteuwa viongozi,jambo ambalo lilikuwa likiwanyima haki wanafunzi kuchagua viongozi wanaowataka. Hapa wanafunzi wa Shule ya Msingi Ndebwe walitumia Demokrasia kuchagua vingozi...
(image) – Head prefect Primary School District Ndebwe existing Chamwino Dodoma Region, Rossemary Masaka. This is one of the achievements of the project MY RIGHTS MY VOICE, a project that has brought a revolution in school district elections Chamwino different from the past where teachers were appointed leaders, which was right likiwanyima students choose leaders who urged. Here students of the School of Basic Democracy Ndebwe used to select leaders in their...
Edit
(image) – Hili ni jengo la choo cha Shule ya Msingi Ndebwe iliyopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma choo ambacho wanafunzi hukitumia wawapo shuleni hapo.
(image) – Hili ni jengo la choo cha Shule ya Msingi Ndebwe iliyopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma choo ambacho wanafunzi hukitumia wawapo shuleni hapo.
Edit
(image) – Katika utekelezaji wa kweli wa maendeleo ya Tanzania tunahitaji viongozi wachapakazi wenye moyo wa kutumikia wananchi na kukubali ushauri bila kujali nyadhfa zao. Bi.Fatma Said Ally ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Chamwino ni miongoni mwa viongozi ambao wanapongezwa na wananchi kutika juhudi zake za kuwa karibu na wananchi,taasisi pamoja na wadau katika Wilaya yake kwa lengo la kuwaletea maendeleo. MED inampongeza kiongozi huyu na kumtakia kila la kheri...
(image) – In fact the implementation of Tanzania's development, we need leaders who are hardworking spirit of serving the people and accept their advice regardless nyadhfa. Bi.Fatma Said Ally, who is the Head of the District of Chamwino are among the leaders who are praised by the people Ex. its efforts to become closer to the people, institutions and stakeholders in his district for the purpose of bringing about development. MED I commend this leader and...
Edit
Kitaifa – Waliofeli kidato cha nne waula, ufaulu sasa waongezeka ...
(Not translated)
Edit
1
2
Next »