| Base (Swahili) | English |
|---|---|
MIRADI MIPYA YA MARAFIKI WA ELIMU DODOMA (MED) 2014
......................................................................................................................... VIPINDI VYA RADIO - DODOMA MED kwa ushirikiano na shirika la HakiElimu katika mwaka 2014 tutaendesha vipindi vya Radio katika kituo cha Radio Sports FM cha Dodoma. Katika vipindi hivo mada mbalimbali zitajadiliwa na washiriki kutoka Wilaya za Dodoma, Kondoa, Mpwapwa, Bahi, Chemba, Mpwapwa, kongwa na Chamwino. Lengo la vipindi hivi ni kuongeza ushiriki wa wananchi katika kujadili masuala mbalimbali ya kijamii hususan katika kuboresha Elimu na Demokradsia nchini. MRADI WA KUHAMASISHA UTAWALA BORA NA DEMOKRASIA SHULENI MED kwa mwaka 2014 inaendelea na mradi wa Haki Yangu Sauti Yangu kaika shule zaidi ya 24 za Msingi na Sekondari katika Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma. Mradi huu utakao husika na kujenga uwezo wa Mabaraza ya wanafunzi, Kamati za Shule, Bodi za Shule na Menejimenti za shule unafadhiliwa na shirika la kimataifa la Oxfam GB. MRADI WA MAKTABA ZA JAMII. MED inaendelea kufanya mazungumzo na ofisi ya Afisa Mtendaji wa kata ya Kikuyu Kusini kwa ajili ya kufungua Maktaba ya Jamii itakayo hudumia wakazi wa Kata a Kikuyu Kusini, Kikuyu Kaskazini na Mkonze katika Manispaa ya Dodoma. Iwapo mradi huo utafanikiwa; wanafunzi wa shule za sekondari za Kikuyu, Mkonze, Chidachi na Wella pamoja na wanafunzi wa shule za msingi Mkonze, Kikuyu A, Kikuyu B, Mkonze na Chidachi watanufaika na huduma hiyo ya Maktaba. MED imekuwa ikijihusisha na shughuli za kuhamasisha jamii kuboresha Elimu, Kushiriki katika Mikutano ili kuongeza ushiriki wa wananchi katika masuala ya kijamii na kukuza Demokrasia, Kuelimisha vijana na jamii kuhusu madhara ya Matumizi ya Madawa ya Kulevya, Madhara ya UKIMWI kwa jamii na Taifa, Kuhamasisha Utamaduni kwa kuwa na vikundi vya Sanaa; na pia MED inahamasisha jamii katika kuhakikisha kuwa inalinda Afya zao dhidi ya Magonjwa kama Malaria, Kipindupindu nk. Mwaka 2010 MED kwa uhisani wa Shirika la HakiElimu na Kifimbo FM; iliendesha vipindi 23 vya Radio vilivyojadili masuala mbalimbali ya Elimu ikiwemo Elimu ya Demokrasia katika kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabubge na Madiwani. Mwaka 2011 MED kwa kushirikiana na HakiElimu na Uwezo.net itaendelea na mradi wa kuendesha vipindi vya Radio kwa ajili ya Uhamashishaji wa Kuendeleza na kuboresha Elimu Mkoani Dodoma.
|
Sessions RADIO - DODOMA WITH the cooperation and organization HalkiElimu during May, 2012 to Nobvemba, 2012 The objective of this program is to increase citizen participation in various social issues, particularly in improving education and Demokradsia country. MOBILIZE PROJECT SCHOOL GOVERNANCE AND DEMOCRACY WITH the year 2012/2013 shall project worth more Tsh.50, 000,000 / = kaika more than 20 schools of Primary and Secondary Education District in Dodoma Region Chamwino. This project will be concerned with building the capacity of councils of students, the School Committee, School Board and Management of the school is funded by international agency Oxfam GB. THE LIBRARY OF COMMUNITY. TO continues to hold talks with the office of the Chief Executive of the County of South Kikuyu Library for the opening of the Community that will serve residents of a Kikuyu County South, North and Mkonze Kikuyu in Dodoma Municipality. If the project will be successful, students of secondary schools of the Kikuyu, Mkonze, Chidachi and Wella as well as students of primary schools Mkonze, a Kikuyu, Kikuyu B, Mkonze and Chidachi will benefit from the service of the Library. TO has been ikijihusisha and activities to encourage communities to improve education, participate in meetings to increase citizen participation in community issues and promote democracy, educate youth and communities about the impact of Drug Abuse Impact of AIDS on society and the nation, Supporting Culture with art groups, and also encourages social WITH ensuring that protects their health against diseases like Malaria, Cholera etc.. In 2010 with the Organisation for philanthropy HakiElimu and Kifimbbo FM, Radio 23 sessions conducted vilivyojadili various aspects of education including the Education for Democracy in the Election of the President, Wabubge and Councillors. In 2011 with the collaboration and HakiElimu and Uwezo.net project will continue to run programs Uhamashishaji Radio for Development and Education to improve the Dodoma region. |
Translation History
|