Log in

/m-e-d-1-1/news: English

BaseEnglish
MikakatiStrategiesEdit
Je Wajua?Did you know?Edit
Picha za MatukioPhotos of EventsEdit
Kutoka MitaaniFrom the StreetsEdit
WafadhiliDonorsEdit
Matukio YajayoUpcoming EventsEdit
WashirikaPartnersEdit
(image) – Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kambarage Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma wakiwafurahia wafanyakazi wa shirika lisilo la kiserikali la Marafiki wa Elimu Dodoma hawako pichani walipokwenda kutembelea shule hiyo ikiwa ni mojAwapo ya ufuatiliaji wa mradi wa HAKI ZANGU SAUTI YANGU.(image) – Students Kambarage Primary School in Dodoma Region District Chamwino they rejoiced workers NGO Friends of Education of Dodoma are not pictured as they went to visit the school as part of project monitoring MY RIGHTS MY VOICE.Edit
(image) – Mratibu wa shirika la Marafiki wa Elimu Dodoma,nd.Davis Makundi akiendesha mafunzo ya chaguzi za Demokrasia na uundwaji wa mabaraza katika shule 16 za msingi na 4 ZA sekondari zilzopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma,ikiwa ni moja ya utekelezaji wa mradi wa HAKI ZANGU SAUTI YANGU unaoendeshwa na shirika hili kupitia ufadhili wa OXFAM GB.(image) – Coordinator of the Friends of Education Dodoma, nd.Davis groups riding training options Democracy and the creation of councils in 16 primary schools and 4 secondary zilzopo Chamwino District in Dodoma Region, which is one of the project implementation MY RIGHTS MY VOICE run by this organization through funding from the OXFAM GB.Edit
(image) – Wanafunzi kutoka shule za msingi za,Mvumi misheni,Mvumi co,ed,Nyerere,Ilolo,Ndebwe,Mvumi makulu,,Chalula na Muungano. Wakifuatilia mafunzo juu ya chaguzi za Demokrasia na uundwaji wa mabaraza mashuleni,kutoka kwa maafisa wa shirika la Marafiki wa Elimu Dodoma hawako pichani,ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa HAKI ZANGU SAUTI YANGU unaoendeshwa na shirika hili katika shule 14 za msingi na 6 za sekondari zilizopo Wilayani Chamwino Mkoani...(image) – Students from elementary schools, missions rumors, speculation co, ed, Nyerere, Ilolo, Ndebwe, rumors Makulu, Chalula the Union. Wakifuatilia training on democratic elections and the formation of councils in schools, from the officers of the organization Friends of Education Dodoma are not pictured, as part of the implementation of the project MY RIGHTS my voice driven organization in schools 14 primary and 6 of existing secondary Chamwino District...Edit
NDEBWE YALETA MABADILIKO KATIKA DEMOKRASIA. – Na. MED Information Unit – Shule ya Msingi Ndebwe iliyoko katika Halmashauri ya Wilaya ya Dodoma imeonesha matokeo mazuri katika uchaguzi wa kidemokrasia kwa kumchagua msichana kuwa Kiranja Mkuu wa shule hiyo na kuwashinda wavulana waliokuwa wapinzani wake wa karibu. ...(Not translated)Edit
UJIRA WA WALIMU UZINGATIE MAZINGIRA WANAYOPANGIWA – Imekuwa ni kama kawaida kusikia ya kuwa wapo walimu wengi wanaoshindwa kulipoti kwaenye vituo vya kazi kutokana na sababu mbalimbali ikwemo ugumu wa mazingira ya kufanyia kazi, vitendea kazi na hata uhakika wa maslai...Timing ENVIRONMENT OF TEACHERS consider WANAYOPANGIWA – Has become a commonly heard that there are many teachers who fail kulipoti kwaenye work stations for various reasons ikwemo difficult working environment, resources and even reach the point of maslai them in time. ...Edit
(image) – Shirika la Marafiki wa Elimu Mkoani Dodoma pia hutumia vyombo vya habari kutoa Elimu kwa jamii kuhusiana,Elimu,Demokrasia na Utawala bora,kama inavyoonekana kwenye picha.(image) – Friends of Education Organization Dodoma Region also uses media to provide education to the community related, Education, Democracy and Good Governance, as shown in the picture.Edit
MED KUGHARAMIA MITIHANI YA MAZOEZI IV KIKUYU SEKONDARI. – Shirika la Marafiki wa Elimu Dodoma MED litagharamia uchapishaji wa mitihani ya Mazoezi kwa wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Kikuyu ili kuongeza maarifa kwa wanafunzi wa shule hiyo wanaotarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne mwezi Novemba, 2013. – Uamuzi huo wa MED umetolewa katika kikao cha pamoja kati ya wazazi, wanafunzi na walimu wa kidato cha nne...FINANCING OF PRACTICE IV examinations SECONDARY Figs. – Friends of Education Organization Dodoma MED printing litagharamia Practice exams for students in Form Four in secondary schools Kikuyu to increase knowledge for students of the school are expected to sit for the Form Four graduation in November, 2013. – The decision of the MED has been issued in a joint session between parents, students and teachers to form the school's fourth...Edit
Asema hata akifaulu shule ya Kata hasomi: – Mwanafunzi wa shule ya msingi Mvumi Makulu Elia Mkwila (13) amesema hayuko tayari kusoma katika shule za serikali za kata kutokana na elimu inayotolewa katika shule hizo kuto kukidhi mamhitaji ya elimu bora nchini. Kijana Mkwila ayasema hayo alipofanya mahojiano mafupi na Mrartibu wa shirika la Marafiki wa Elimu...Says that he succeeded not read Ward School: – Student primary school gossip Makulu Mkwila Elia (13) has said it is ready to read in the public schools of the county from the education offered in these schools inactivity meet demands for quality education in the country. Boy Mkwila I say it had made a short interview with Mrartibu agency Dodoma Friends of...Edit