MED YATOA SAADA WA VITABU. – Shirika la Marafiki wa Elimu Dodoma MED limetoa msaada wa vitabu vya kiada na kiongozi cha mwalimu vyenye thamani ya zaidi ya Sh. 397,363,300 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kwa lengo la kuboresha Elimu katika Wilaya hiyo. Mdsaada huo wa vitabu vya masomo ya kiingereza, Hisabati na Jiografia utawanufaisha walimu na wanafunzi wa shule... | DISHES WITH BOOKS support. – Friends of Education Organization has provided support Dodoma MED textbooks and teacher's guide valued at more than Sh. 397,363,300 for DC Chamwino to improve education in the District. Mdsaada same textbooks English, mathematics and geography will benefit teachers and students of the school 82 of Council Chamwino ambient Dodoma region. ... | Edit |