Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
ahsante kwa maono yako, lakini kubwa watanzania hatuijui katiba ya zamani mpya tutaiiteteaje au tunajua ina mapungufu gani. wakati hata cover yake mimi nimeiona mwaka jana. Tufundishwe katiba ya zamani tuone mapungufu yake halafu tutoe maoni |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe