Envaya

/M-E-D-1-1/news: English

BaseEnglish
MikakatiStrategiesEdit
Je Wajua?Did you know?Edit
Picha za MatukioPhotos of EventsEdit
Kutoka MitaaniFrom the StreetsEdit
WafadhiliDonorsEdit
Matukio YajayoUpcoming EventsEdit
WashirikaPartnersEdit
(image) – Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kambarage Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma wakiwafurahia wafanyakazi wa shirika lisilo la kiserikali la Marafiki wa Elimu Dodoma hawako pichani walipokwenda kutembelea shule hiyo ikiwa ni mojAwapo ya ufuatiliaji wa mradi wa HAKI ZANGU SAUTI YANGU.(image) – Students Kambarage Primary School in Dodoma Region District Chamwino they rejoiced workers NGO Friends of Education of Dodoma are not pictured as they went to visit the school as part of project monitoring MY RIGHTS MY VOICE.Edit
(image) – Meneja wa Mradi wa MRMV Bi Rehema Mwakajila akiwa na maafisa wa Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) alipofanya ziara Mkoani Dodoma kwa ajili ya ufuatiliaji wa Mradi.(image) – Project Manager Ms. Grace Mwakajila MRMV with organization officials Dodoma Friends of Education (MED) visited Dodoma region for monitoring the project.Edit
NDEBWE YALETA MABADILIKO KATIKA DEMOKRASIA. – Na. MED Information Unit – Shule ya Msingi Ndebwe iliyoko katika Halmashauri ya Wilaya ya Dodoma imeonesha matokeo mazuri katika uchaguzi wa kidemokrasia kwa kumchagua msichana kuwa Kiranja Mkuu wa shule hiyo na kuwashinda wavulana waliokuwa wapinzani wake wa karibu. ...(Not translated)Edit
MED KUGHARAMIA MITIHANI YA MAZOEZI IV KIKUYU SEKONDARI. – Shirika la Marafiki wa Elimu Dodoma MED litagharamia uchapishaji wa mitihani ya Mazoezi kwa wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Kikuyu ili kuongeza maarifa kwa wanafunzi wa shule hiyo wanaotarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne mwezi Novemba, 2013. – Uamuzi huo wa MED umetolewa katika kikao cha pamoja kati ya wazazi, wanafunzi na walimu wa kidato cha nne...FINANCING OF PRACTICE IV examinations SECONDARY Figs. – Friends of Education Organization Dodoma MED printing litagharamia Practice exams for students in Form Four in secondary schools Kikuyu to increase knowledge for students of the school are expected to sit for the Form Four graduation in November, 2013. – The decision of the MED has been issued in a joint session between parents, students and teachers to form the school's fourth...Edit
Asema hata akifaulu shule ya Kata hasomi: – Mwanafunzi wa shule ya msingi Mvumi Makulu Elia Mkwila (13) amesema hayuko tayari kusoma katika shule za serikali za kata kutokana na elimu inayotolewa katika shule hizo kuto kukidhi mamhitaji ya elimu bora nchini. Kijana Mkwila ayasema hayo alipofanya mahojiano mafupi na Mrartibu wa shirika la Marafiki wa Elimu...Says that he succeeded not read Ward School: – Student primary school gossip Makulu Mkwila Elia (13) has said it is ready to read in the public schools of the county from the education offered in these schools inactivity meet demands for quality education in the country. Boy Mkwila I say it had made a short interview with Mrartibu agency Dodoma Friends of...Edit
MED YATOA SAADA WA VITABU. – Shirika la Marafiki wa Elimu Dodoma MED limetoa msaada wa vitabu vya kiada na kiongozi cha mwalimu vyenye thamani ya zaidi ya Sh. 397,363,300 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kwa lengo la kuboresha Elimu katika Wilaya hiyo. Mdsaada huo wa vitabu vya masomo ya kiingereza, Hisabati na Jiografia utawanufaisha walimu na wanafunzi wa shule...DISHES WITH BOOKS support. – Friends of Education Organization has provided support Dodoma MED textbooks and teacher's guide valued at more than Sh. 397,363,300 for DC Chamwino to improve education in the District. Mdsaada same textbooks English, mathematics and geography will benefit teachers and students of the school 82 of Council Chamwino ambient Dodoma region. ...Edit
WATAKA WABUNGE WAJITOKEZE KWENYE MIDAHALO. – Wananchi wa majimbo ya uchaguzi ya Mtera na Chilonwa katika Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma wamewataka Wabunge wao kujitokeza katika mijadala inayowakutanisha ili wapate fursa ya kujadili juu ya matatizo yao. Wapiga kura hao waliyasema hayo katika mahojiano ya ufanisi wa mijadala ya Mahusiano baina ya Wabunge na wananchi inaypfadhiliwa na shirika la The Foundation...Waste MEMBERS WAJITOKEZE In a debate. – Citizens of the Mtera constituencies and Chilonwa District in Dodoma Region Chamwino have urged their members to appear in discussions inayowakutanisha to have an opportunity to discuss their problems. These voters did say in an interview that the effectiveness of discussions Relations between MPs and citizens inaypfadhiliwa and organization of The Foundation for Civil...Edit
MED YAANZISHA MFUKO WA ELIMU YA SEKONDARI CHIDACHI – Na. Barakaely Christopher – Shirika la Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) kwa kushirikina na wananchi wa kata za Kikuyu Kusini na Mkonze Manispaa ya Dodoma wameanzisha mfuko wa kuwalipia ada na michango mingine wanafunzi wote watakaofaulu mtihani wa darasa la saba na kujiunga na elimu ya sekondari...MED marks SECONDARY EDUCATION FUND CHIDACHI – And. Christopher Barakaely – Organization of Friends of Education Dodoma (MED) for superstition and citizens of the county of Kikuyu Africa and Mkonze Municipal Dodoma have set up a fund to pay fees and other contributions all students who passed the test of seventh grade and join secondary education from...Edit