Base (Swahili) | English |
---|---|
Meneja wa Mradi wa MRMV Bi Rehema Mwakajila akiwa na maafisa wa Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) alipofanya ziara Mkoani Dodoma kwa ajili ya ufuatiliaji wa Mradi. |
Project Manager Ms. Grace Mwakajila MRMV with organization officials Dodoma Friends of Education (MED) visited Dodoma region for monitoring the project. |
Translation History
|