Base (Swahili) | English |
---|---|
UJIRA WA WALIMU UZINGATIE MAZINGIRA WANAYOPANGIWA Imekuwa ni kama kawaida kusikia ya kuwa wapo walimu wengi wanaoshindwa kulipoti kwaenye vituo vya kazi kutokana na sababu mbalimbali ikwemo ugumu wa mazingira ya kufanyia kazi, vitendea kazi na hata uhakika wa maslai yao kuwafikia kwa wakati. Hayo yamezungumzwa na wadau wa elimu mkoani Dodoma wakati wakiwa kwenye shughuli za ugawaji wa msaada wa vitabu katika wilaya ya chamwino mkoani humo. Akiongea na mratibu wa shirka lisilo la kiserikali la marafiki wa elimu mkoani Dodoma Mwl Abinery Malogo wa shule ya msingi Wiliko alisema wamekuwa wakipata shida sana hasa pale wanapojikuta asilimia zaidi ya 25% ya mishahara yao inatumika katika nauli katika kipindi kinapofika cha kwenda kuchukua mishahara yao. Aidha mwl malogo alilalamikia pia kuona walimu waliopo mijini waapewa kiwanngo sawa na wale wanaoishi vijijini. (Moja kati ya ofisi ya walimu kama inavyoonekana katika shule ya msingi Mzula iliyopo wilayani Chamwino) kitu ambacho amedai kuwa hali hiyo imekuwa ni tatizo kubwa na linaloonekana kama ni uonevu kwani kwa wao kukubali kutumikia maeneo ya vijijini. Hakika kama walimu waliopo vijijini wangekwa wanapatiwa kiwango kikubwa tofauti na wanachopewa sasa hakika walimu wengi wengi ambao wamekuwa wakipangiwa katika maeneo ya vijijini wangekuwa wanaripoti kwa wakati na kufanya kazi kwa moyo mmoja na kuwa na uhakika wa kuwa na maisha bora na ya mfano kwa wote wanaopenda kuwa walimu. Mbali na ugumu wa mazingira pia baadhi ya vitu vilivyoonyesha kuhatarisha maisha ya wlimu hao ni pamoja na uchakavu wa majengo, kama vile ofisi za walimu,vyoo kutokuwa na madarasa ya kutosha kitu kinachowalazimu baadhi ya wanafunzi kufundishiwa sehemu zisizo kidhi matakwa yao, pia ukosefu wa madawati ya kukalia wanafunzi imeonekana ni kikwazo katika maeneo mengi wilayani humo. Mbali na ukosefu wa madawati lakini pia wapo wanafunzi wanaosomea chini ya miti kitu ambacho kinaonekana kama ni hadithi za kale, lakini ukweli ndivyo ulivyo kwenye maeneo mengi ya vijijini mkoani Dodoma. |
Timing ENVIRONMENT OF TEACHERS consider WANAYOPANGIWA Has become a commonly heard that there are many teachers who fail kulipoti kwaenye work stations for various reasons ikwemo difficult working environment, resources and even reach the point of maslai them in time. That yamezungumzwa and education stakeholders Dodoma region while on the distribution of activity in support of district books Chamwino region. Speaking shirka coordinator NGO friends of education in Dodoma Mwl Abinery logo of primary school situated said there had been a very difficult especially when they pojikuta percent more than 25% of salary Their fare applicable at the time arrives to go take their salaries. Moreover Mwl logo also claimed to see existing urban teachers to be kiwanngo similar to those living in rural areas. (One of the offices of teachers as shown in the elementary school district bewildered existing Chamwino) something that has claimed that it has been a big problem with bullying as visible as it is for them to agree to serve rural areas. For teachers in the rural areas would to receive significantly different and are given now surely many teachers many of which have been posted in the rural areas would have to report on time and to work with one and be sure to have a better life and a model for all who want to be teachers. Apart from the difficulty of the environment as well as some of the items bearing endanger the lives of those teachers include depreciation of buildings, such as offices, teachers, sanitation, lack of enough classrooms something kinachowalazimu some students kufundishiwa semi-meeting their needs, as well as the lack of desks for students to sit proved an obstacle in many areas district. In addition to the lack of desks, but there are also students who are studying under trees is something that looks like the old story, but the truth is what it is in many rural areas in Dodoma. |
Translation History
|