Envaya

/m-e-d-1-1/news: English

BaseEnglish
MikakatiStrategiesEdit
Je Wajua?Did you know?Edit
Picha za MatukioPhotos of EventsEdit
Kutoka MitaaniFrom the StreetsEdit
WafadhiliDonorsEdit
Matukio YajayoUpcoming EventsEdit
WashirikaPartnersEdit
(image) – Mratibu wa shirika la Marafiki wa Elimu Dodoma,nd.Davis Makundi akiendesha mafunzo ya chaguzi za Demokrasia na uundwaji wa mabaraza katika shule 16 za msingi na 4 ZA sekondari zilzopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma,ikiwa ni moja ya utekelezaji wa mradi wa HAKI ZANGU SAUTI YANGU unaoendeshwa na shirika hili kupitia ufadhili wa OXFAM GB.(image) – Coordinator of the Friends of Education Dodoma, nd.Davis groups riding training options Democracy and the creation of councils in 16 primary schools and 4 secondary zilzopo Chamwino District in Dodoma Region, which is one of the project implementation MY RIGHTS MY VOICE run by this organization through funding from the OXFAM GB.Edit
(image) – Huu ni muonekano wa mbele wa choo hicho.(image) – This is a view of the front of the toilet.Edit
MIAKA SABA SHULE HAINA MWALIMU WA HESABU – Wakati serikali ikiwa imeunda tume ya kuchunguza chanzo cha matokeo mabaya ya kidato cha nne kwa mwaka 2012, zipo sababu nyingi zinazoonyesha dalili za awali za majibu yatakayoletwa na tume hiyo mara baada ya kukamilika kwa uchunguzi wake. ...It SEVEN YEARS SCHOOL TEACHER OF NUMBERS – With the government has created a commission to investigate the cause of the poor performance of the fourth form in 2012, there are many reasons that show early signs yatakayoletwa response to the commission soon after the completion of the investigation. ...Edit
(image) – Wanafunzi kutoka shule za msingi za,Mvumi misheni,Mvumi co,ed,Nyerere,Ilolo,Ndebwe,Mvumi makulu,,Chalula na Muungano. Wakifuatilia mafunzo juu ya chaguzi za Demokrasia na uundwaji wa mabaraza mashuleni,kutoka kwa maafisa wa shirika la Marafiki wa Elimu Dodoma hawako pichani,ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa HAKI ZANGU SAUTI YANGU unaoendeshwa na shirika hili katika shule 14 za msingi na 6 za sekondari zilizopo Wilayani Chamwino Mkoani...(image) – Students from elementary schools, missions rumors, speculation co, ed, Nyerere, Ilolo, Ndebwe, rumors Makulu, Chalula the Union. Wakifuatilia training on democratic elections and the formation of councils in schools, from the officers of the organization Friends of Education Dodoma are not pictured, as part of the implementation of the project MY RIGHTS my voice driven organization in schools 14 primary and 6 of existing secondary Chamwino District...Edit
UJIRA WA WALIMU UZINGATIE MAZINGIRA WANAYOPANGIWA – Imekuwa ni kama kawaida kusikia ya kuwa wapo walimu wengi wanaoshindwa kulipoti kwaenye vituo vya kazi kutokana na sababu mbalimbali ikwemo ugumu wa mazingira ya kufanyia kazi, vitendea kazi na hata uhakika wa maslai...Timing ENVIRONMENT OF TEACHERS consider WANAYOPANGIWA – Has become a commonly heard that there are many teachers who fail kulipoti kwaenye work stations for various reasons ikwemo difficult working environment, resources and even reach the point of maslai them in time. ...Edit
(image) – Shirika la Marafiki wa Elimu Mkoani Dodoma pia hutumia vyombo vya habari kutoa Elimu kwa jamii kuhusiana,Elimu,Demokrasia na Utawala bora,kama inavyoonekana kwenye picha.(image) – Friends of Education Organization Dodoma Region also uses media to provide education to the community related, Education, Democracy and Good Governance, as shown in the picture.Edit
(image) – Kiranja Mkuu wa Shule ya Msingi Ndebwe Iliopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma,Rossemary Masaka. Haya ni moja ya mafanikio ya mradi wa HAKI ZANGU SAUTI YANGU,mradi ambao umeleta mapinduzi katika chaguzi mashuleni Wilayani Chamwino tofauti na zamani ambapo walimu ndio walikuwa wakiteuwa viongozi,jambo ambalo lilikuwa likiwanyima haki wanafunzi kuchagua viongozi wanaowataka. Hapa wanafunzi wa Shule ya Msingi Ndebwe walitumia Demokrasia kuchagua vingozi...(image) – Head prefect Primary School District Ndebwe existing Chamwino Dodoma Region, Rossemary Masaka. This is one of the achievements of the project MY RIGHTS MY VOICE, a project that has brought a revolution in school district elections Chamwino different from the past where teachers were appointed leaders, which was right likiwanyima students choose leaders who urged. Here students of the School of Basic Democracy Ndebwe used to select leaders in their...Edit
(image) – Hili ni jengo la choo cha Shule ya Msingi Ndebwe iliyopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma choo ambacho wanafunzi hukitumia wawapo shuleni hapo.(image) – Hili ni jengo la choo cha Shule ya Msingi Ndebwe iliyopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma choo ambacho wanafunzi hukitumia wawapo shuleni hapo.Edit