Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/M-E-D-1-1/post/107589
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
MED hongera sana kwa kazi kubwa ya ujenzi wa Taifa letu unaoyo ifanya. Pili kuna baadhi ya maneno yaliyokosewa kuandikwa kwa mfano SAADA badala ya MSAADA katika kichwa cha habari, neno VITATU badala ya VITABU katika manaeno yaliyo upande wa kulia mwa picha. Ili kuongeza mvuto wa taarifa hizi nyeti kwa wadau,kuonesha kuwa MED ni makini ni vema kuhariri taarifa ilivyoandikwa kabla ya ku "post" kwenye mtandao. Long Live MED.
(Not translated)
Hindura
Mikakati
(Not translated)
Hindura
Je Wajua?
(Not translated)
Hindura
Picha za Matukio
(Not translated)
Hindura
Kutoka Mitaani
(Not translated)
Hindura
Wafadhili
(Not translated)
Hindura
Matukio Yajayo
(Not translated)
Hindura
Washirika
(Not translated)
Hindura
MED YATOA SAADA WA VITABU. – Shirika la Marafiki wa Elimu Dodoma MED limetoa msaada wa vitabu vya kiada na kiongozi cha mwalimu vyenye thamani ya zaidi ya Sh. 397,363,300 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kwa lengo la kuboresha Elimu katika Wilaya hiyo. Mdsaada huo wa vitabu vya masomo ya kiingereza, Hisabati na Jiografia utawanufaisha walimu na wanafunzi wa shule...
(Not translated)
Hindura