MED hongera sana kwa kazi kubwa ya ujenzi wa Taifa letu unaoyo ifanya. Pili kuna baadhi ya maneno yaliyokosewa kuandikwa kwa mfano SAADA badala ya MSAADA katika kichwa cha habari, neno VITATU badala ya VITABU katika manaeno yaliyo upande wa kulia mwa picha. Ili kuongeza mvuto wa taarifa hizi nyeti kwa wadau,kuonesha kuwa MED ni makini ni vema kuhariri taarifa ilivyoandikwa kabla ya ku "post" kwenye mtandao. Long Live MED. | (Not translated) | Edit |