HAKIELIMU YAPONGEZWA Na. Davis Makundi – (image) Shirika la HakiElimu limepongezwa kwa kazi nzuri wanayoifanya nchini hasa katika kuboresha Elimu na Demokrasia nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED) Dk. Sinda Hussein Sinda ambaye... | (Not translated) | Hindura |