Base (Swahili) | English |
---|---|
HAKIELIMU YAPONGEZWA Na. Davis Makundi
Dk. Sinda pichani alisema mara nyingi mashirika yanayofanya kazi na wadau wake hupenda kuwatumia wadau hao kama chambo cha kuwapatia umaarufu kwa ajili ya kujikuza wao lakini kwa HakiElimu imekuwa tofauti kwani hadi hatua za mwisho wa usajili waliendelea kutoa ushirikiano kwa MED hadi usajili ukapatikana. "Ndugu wajumbe, tuna kila sababu ya kuwashukuru HakiElimu kwa jambo hili ambalo sote tunaamini bila wao leo hii MED isingekuwepo" alisema Dk. Sinda. Naye Mratibu wa MED Bw. Davis Makundi aliwaeleza wajumbe kuwa ushirikiano huo umezidi kuimarika kwani HakiElimu licha ya kukubali jina la "Harakati za Marafiki wa Elimu" litoholewe na MED na kutumika; mwishoni mwa mwezi Aprili, 2012 walituma mkataba wa sh. 1,370,000/= kwake kwa ajili ya kuendesha vipindi 10 vya radio Mkoani Dodoma vitakavyohusiana na Elimu, Demokrasia na masuala ya utawala Bora. Bodi ya MED inaandaa utaratibu wa kufanya mawasiliano na HakiElimu kwa ajili ya kuwaomba wakubali kuwa wanachama wa heshma katika shirika la MED kwa mujibu wa katiba. Wakati huo huo wananchi wa kijiji cha Chidachi kilichoko Kata ya Mkonze Manispaa ya Dodoma wamesema wanatamani sana HakiELimu ikubali kuwa Mlezi wa Shule ya Msingi Chidachi ambayo licha ya kuwa ni shule changa, imekuwa na mafankio makubwa kitaaluma siku hadi siku. Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Bi. Zuhura Muhoji pichani kulia; alitoa ombi hilo kwa asasi ya MED na kuiomba |
HakiElimu YAPONGEZWA no. Davis Groups
Dr. Abolished pictured said often organizations working with its stakeholders may wish to use them stakeholders such as bait to give prominence for self cultivation of them but HakiElimu has been varied as to the final stages of registration, they continue to cooperate with TO to registration was obtained. "Dear members, we have every reason to thank for this HakiElimu which we all believe without them today WITH not there," said Dr. Abolished. And Mr. WITH Coordinator. Groups Davis told delegates that strengthening cooperation has intensified since HakiElimu despite accepting the name "Friends of Education Movement" litoholewe and TO and used, at the end of April, 2012 they sent a contract sh. 1,370,000 / = for him to run for 10 periods vitakavyohusiana radio Dodoma Region and Education, Democracy and good governance issues. TO the Board is preparing the process of making contacts and asking for HakiElimu accept that members of the organization heshma WITH according to the constitution. Meanwhile the people of the village of what's Chidachi County Mkonze Dodoma Municipality have said they wanted to accept that the Lord HakiElimu Primary School Chidachi which despite being a young school, has had great success professionally from day to day. The school head teacher Mrs. Venus Muhoji pictured right, made a request to the organization and ask WITH |
Translation History
|