WAKETI KWENYE UDONGO DARASANI KWA UHABA WA MADAWATI – Wanafunzi katika shule ya msingi Chalula iliyopo Mvumi Makulu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wanakabiliwa na uhaba wa madawati na kusababisha kuketi chini huku baadhi ya madarasa yakiwa hayana sakafu. – Hayo yalibainika hivi... | (Not translated) | Hindura |