Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/M-E-D-1-1/post/105745
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
sasa ni muda kwa watanzania kuwa makini mara mbili na zaidi ya tulivyokuwa mwanzo, hasa hasa katika kujadili mswada huu maana jambo la msingi la kufahamu ni kwamba muswada ukikubalika na wananchi kisha kupitishwa na Bunge la Jamuuri ya Muungano ya Tanzania na kusainiwa na rais wa nchi, basi uwa SHERIA kamili itumikayo ndani ya eneo au nchi husika katika jambo husika, na linapofanikiwa ilo basi SHERIA haijadiliwi tena bali inafuatwa.
(Bila tafsiri)
Hariri
CHAVITA YALIA NA KUSAHAULIWA NA SERIKALI. Na. Barakaelly Mosi – Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kimesikitishwa na kitendo cha Serikali kuwasahau katika mipango yake na kuwafanya walemavu kuwa omba-omba kutokana na kusahauliwa huko. Hayo yalielezwa na washiriki wa mjadala wa kuangalia changamoto za walemavu wasiosikia (Viziwi) lililoandaliwa na CHAVITA kwa ufadhili wa Jumuia ya Kiraia ya The Foundation...
(Bila tafsiri)
Hariri
Mikakati
(Bila tafsiri)
Hariri
Je Wajua?
(Bila tafsiri)
Hariri
Picha za Matukio
(Bila tafsiri)
Hariri
Kutoka Mitaani
Kutoka Mitaani
Hariri
Wafadhili
(Bila tafsiri)
Hariri
Matukio Yajayo
(Bila tafsiri)
Hariri
Washirika
(Bila tafsiri)
Hariri