WILAYA YA KONDOA NA VITUKO KATIKA ELIMU – Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa iliyoko umbali wa kilometa 160 kutoka Dodoma inakabiliwa na hali mbaya ya maendeleo ya Elimu kufuatia shule zake za Sekondari kudorora katika matokeo ya mitihani ya kitaifa ukiwemo wa kidato cha nne uliofanyika mwishoni mwa 2010. (image)... | (Not translated) | Hindura |