Base (Swahili) | English | ||
---|---|---|---|
KIKUYU YAUNDA KAMATI YA KURATIBU SHUGHULI ZA CLUB ZA MARAFIKI
Uamuzi wa wanaharakati hao kuwa na Kamati hii ni kuhakikisha kuwa Marafiki wa shule hiyo wanafanya kazi yao kwa umakini zaidi na kuongeza tija katika mijadala na uhuru wa kutoa maoni na kuchangia mada mbalimbali za Club za Marafiki katika shule hiyo.
Shule ya Kikuyu ina jumla ya Club 9 za Marafiki ambazo zinahusisha mikondo 9 ya kidato cha kwanza hadi cha tatu. “Kuundwa kwa Kamati hii kutasaidia kuimarisha uhuru wa mijadala na kuzifanya Club zidumu kwani zitasimamiwa na wanafunzi wenyewe”. Club za Marafiki wa Elimu Kikuyu zinajiendeshwa kwa kusimamiwa na Kamati ya Marafiki wa Elimu Dodoma kwa kushirikiana na Mwalimu Mlezi wa Club hizo. Timu ya Marafiki wa Elimu katika shule ya Sekondari Kikuyu Mkoani Dodoma imeonesha mabadiliko makubwa katika kutetea walimu kwa kutoa wito kwa wadau mbalimbali kuwatetea walimu ili kupata stahiki zao na kuboresha ari ya walimu kufanya kazi zao pasipo kinyongo. Wanaharakati hao wameeleza kuwa kuendelea kushuka kwa kiwango cha ufaulu katika shule za sekondari hasa za kata ni matokeo ya kupuuzwa kwa ushauri wa walimu au walimu kusahaulika. Vijana hao wamewataka wadau hasa taasisi na mashirika yasiyo ya kiserikali kusaidia kupaza sauti juu ya kilio cha walimu ili kuwaongezea ari katika kutekeleza majukumu yao.
|
Kikuyu Coordinating Committee YAUNDA ACTIVITIES CLUB OF FRIENDS
The decision of the activists that the Committee is to ensure that the Friends of the school are doing their job more seriously and increase productivity through dialogue and freedom of opinion and contribute to various topics of the Club of Friends at the school. School Kikuyu has a total of nine of Friends Club, which involve channel 9 of the form first to third. "The formation of this committee will help to strengthen freedom of debate and make Club zidumu as managed by students themselves." Club of Friends of the Kikuyu zinajiendeshwa Education and managed by the Friends of the Education Committee in conjunction with Teacher Dodoma Lord of the Club. Team Friends of Education in Secondary School in Dodoma Region Kikuyu demonstrated significant changes in advocating for teachers to call on various stakeholders on behalf of their eligible teachers to improve the morale of teachers and do their job without qualms. Activists have described the continuing drop in pass rate in secondary schools of the county is mainly a result of ignored the advice of teachers or teachers to be forgotten. Young people are urged stakeholders, particularly those institutions and NGOs supporting the mourning cry out to boost morale of teachers in implementing their obligations. |
Translation History
|