Wenye Ulemavu Waomba Msaada wa Vifaa. – Watu wenye changamoto za ulemavu wamewaomba wanasiasa kuwasaidia kupata nyenzo mbalimbali kwa ajili ya shughuli zao za kila siku. – Wakiongea kwa nyakati tofauti na MED wanachama wa Chama Cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) tawi la Dodoma wamesema; wanasiasa wana nafasi nzuri ya kutetea haki za walemavu kama kweli wakidhamiria kufanya hivyo. – Mwenyekiti wa CHAVITA tawi la Kondoa Bw. Mustafa Shabani amesema watu wenye... | Invoke Disability Support Equipment. – People with disabilities have challenged the call on politicians to help them find various materials for their daily activities. – Wakiongea WITH different times and members of the Tanzania Association of the Deaf (CHAVITA) branch of Dodoma have said, politicians have a good chance of defending the rights of disabled people as they really intend to do so. – Chairman Mr CHAVITA branch of Kondoa. Mustafa... | Edit |